Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

Kwaio Naibu waziri akiondolewa waziri ndo Nasra atarudi.Ebu Tuache ujinga kama alikua mchepuko hawa wote wanamakosa kwaio atakaepaswa kutoa adhabu dhidi yao ni mwenyezi Mungu
Kwahiyo kwako wewe kiongozi kuwajibika haina maana!
 
Maskini mtoto wa watu kapoteza maisha sbb ya mtu kapewa madaraka, kaamua kula msichana wa chuo, alafu yeye yuko hai.
 
Kwahiyo kwako wewe kiongozi kuwajibika haina maana!
Awajibike kwenye issue gani haya mambo ni personal wala hayahusiani na issue za Kazi. Angekua kaharibu kazi kufanya ufisadi,kashindwa kuwahudumia watanzania kwenye nafasi yake hapo sawa
 
Maskini mtoto wa watu kapoteza maisha sbb ya mtu kapewa madaraka, kaamua kula msichana wa chuo, alafu yeye yuko hai.
Mkuu Tuache roho mbaya hawa wote walikua watu wazima. Kama walikua wanamahusiano walikua hawavunji sheria za nchi Labda tu walikua wanavunja sheria za dini.Tuache mungu ndo atawahukumu
 
Mheshimiwa alieenda a nani uko adi akapata ajali hatajwi inawezekana ni uyo aliekufa kwa utata alienda kumega tunda changa nyieee
 
Mbona wakati wa JPM walipigana kufa na kupona licha ya jpm kuwa mkali na kuitwa dictator...sasa imekuwaje kipindi hiki cha samia wanacho kipambanua kuwa ni cha haki siyo udicteta washindwe ....chunguza hata vyombo vya habari vya watu binafsi vipo kimya tofauti na kipindi cha jpm sasa hivi hata jina la nyerere limekatazwa kutajwa hapa nchini pamoja na jpm
 
Nenda wewe huko Kenya Talk "turudi" wewe na nani?
 
Unavyojua kwenda na matukio sasa, hapo utakuwa umevaa kijola na umefunga kibwebwe huku una type.
 
Awajibike kwenye issue gani haya mambo ni personal wala hayahusiani na issue za Kazi. Angekua kaharibu kazi kufanya ufisadi,kashindwa kuwahudumia watanzania kwenye nafasi yake hapo sawa
Kaharibu gari ya serikali kwa sababu ya umalaya wake pia yeye kama kiongozi wa umma anatakiwa kuwa mfano mwema kwa tabia nzuri sio kuchepuka chepuka hovyo.
Ebu fikiria mtu ambaye sio mwaminifu kwa mkewe ni vipi anaweza kuwa mwaminifu kwa mali ya umma.
 
Wabongo kama vile hamchepukagi!!

Tatizo la Dr ni kuangusha vx tu sio mengineyo. Ajari kama ajari nyingine, fungeni mikanda
 
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…