Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

Maskini mtoto wa watu kapoteza maisha sbb ya mtu kapewa madaraka, kaamua kula msichana wa chuo, alafu yeye yuko hai.
 
Kwahiyo kwako wewe kiongozi kuwajibika haina maana!
Awajibike kwenye issue gani haya mambo ni personal wala hayahusiani na issue za Kazi. Angekua kaharibu kazi kufanya ufisadi,kashindwa kuwahudumia watanzania kwenye nafasi yake hapo sawa
 
Maskini mtoto wa watu kapoteza maisha sbb ya mtu kapewa madaraka, kaamua kula msichana wa chuo, alafu yeye yuko hai.
Mkuu Tuache roho mbaya hawa wote walikua watu wazima. Kama walikua wanamahusiano walikua hawavunji sheria za nchi Labda tu walikua wanavunja sheria za dini.Tuache mungu ndo atawahukumu
 
Mheshimiwa alieenda a nani uko adi akapata ajali hatajwi inawezekana ni uyo aliekufa kwa utata alienda kumega tunda changa nyieee
 
Ndugu Lwiva naomba niwe na mtazamo tofauti kidogo hapa kwenye hili la kuilaumu JF (kwa maana ya wamiliki na wafanyakazi)
Mimi binafsi naona wanapambana sana na kwakweli wanajitahidi mno kuuwezesha huu mtandao kubaki hai hata wa leo
Kuna changamoto kubwa sana zisizosemwa popote wala kuwekwa hadharani wanazopitia kutokana tu na maudhui ya wanachama wake kwakuwa wao ndio wa kwanza kuulizwa

Sisi tunatumia utambulisho bandia hapa upenuni lakini uhalisia wetu wetu wote wanao wao na ndio walinzi wetu wanaotulinda.. Kuna nyakati walikuwa tayari kuumizwa na kuteswa lli tu kutulinda sisi wanachama wake

Hiki kitu kinaitwa SERIKALI kioneni hivihivi, tutanietanie tu hapa lakini kuna mipaka yake.. Serikali ina mikono mirefu sana na nguvu nyingi sana

Kuna baadhi ya maudhui yanaondolewa kwa faida yetu wenyewe, afya ya forum na ulinzi wa wamiliki na wafanyakazi wake.. Mimi na wewe inaweza kuchukua muda kufikiwa na ile mikono mirefu lakini sio wao wamiliki na wafanyakazi.. Wao kudakwa ni dakika tuu

Inawezekana kweli kuna mahali kuna mapungufu lakini sisi sote si wakamilifu.. Ni vema tuwatie moyo na ikibidi tuwashukuru na kuwapongeza maana wanayopitia pengine ni makubwa kuliko tunavyolaumu

Mungu ibariki JF
Mbona wakati wa JPM walipigana kufa na kupona licha ya jpm kuwa mkali na kuitwa dictator...sasa imekuwaje kipindi hiki cha samia wanacho kipambanua kuwa ni cha haki siyo udicteta washindwe ....chunguza hata vyombo vya habari vya watu binafsi vipo kimya tofauti na kipindi cha jpm sasa hivi hata jina la nyerere limekatazwa kutajwa hapa nchini pamoja na jpm
 
JAMII FORUM IMEGEUKA TOILET PAPER [emoji3474][emoji406] YA WAHUNI ...HATA UKICHEKI BAN WANAZOPIGWA WATU SIKU HIZI NI ZAKISIASA NA KIFISADI ..KWA SASA UWEZI KUKUTA HABARI NYETI YOYOTE HAPA JF ZOTE ZINAPIGWA PIN KABLA YA KUTUFIKIA ...SERIKALI YA SAMIA INAMAMBO MAOVU MAKUBWA SANA WATU WAKILETA HUMU YANA PIGWA PIN [emoji419] SASA HIVI NI WAKATI WA KURUDI KULE KENYA TALK FORUM.... MAANA HAPA JF NAONA KABISA BWANA MERO... ULE MSEMO WA MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA PWATA UNA MUHUSU
Nenda wewe huko Kenya Talk "turudi" wewe na nani?
 
Mwili wa Nasra upo mkoa gani tunavyoongea sasa hivi?

Mama Samia anaitwa mama ameshindwa kujua kilichompata binti Nasra ambaya ni sawa na binti yake?

RPC Dodoma naye amepiga kimyaaaa?

Dr mpango naye alikwenda kumjulia Hali Naibu Waziri akalishwa matango pori. Nchi ngumu hii kwa Kweli.

Sasa nchi inaongozwa na mama mabinti wanaliwa vichwa na watu wasiojulikana??
Unavyojua kwenda na matukio sasa, hapo utakuwa umevaa kijola na umefunga kibwebwe huku una type.
 
Awajibike kwenye issue gani haya mambo ni personal wala hayahusiani na issue za Kazi. Angekua kaharibu kazi kufanya ufisadi,kashindwa kuwahudumia watanzania kwenye nafasi yake hapo sawa
Kaharibu gari ya serikali kwa sababu ya umalaya wake pia yeye kama kiongozi wa umma anatakiwa kuwa mfano mwema kwa tabia nzuri sio kuchepuka chepuka hovyo.
Ebu fikiria mtu ambaye sio mwaminifu kwa mkewe ni vipi anaweza kuwa mwaminifu kwa mali ya umma.
 
Wabongo kama vile hamchepukagi!!


Tatizo la Dr ni kuangusha vx tu sio mengineyo. Ajari kama ajari nyingine, fungeni mikanda
 
MASWALI YA MITANDAONI

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?View attachment 2611532View attachment 2611533
Duh

Ova
 
Back
Top Bottom