Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

Awajibike kwenye issue gani haya mambo ni personal wala hayahusiani na issue za Kazi. Angekua kaharibu kazi kufanya ufisadi,kashindwa kuwahudumia watanzania kwenye nafasi yake hapo sawa
Wacha ujinga jamaa. Personal qualities za mtu ndizo zinafanya ateuliwe kuwa kiongozi wa umma. Je kiongozi akiiba mitaani au akiwa panya road siyo sababu ya kuwajibishwa kwa kuwa ni wizi ambao ni mambo yake binafsi? Kinachozungumzwa mitandaoni kama ni KWELI, that's total disqualification from public appointments (Only kama ni KWELI). Think twice.
 
Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
Kuna jambo lisilo la kawaida kwenye hili jambo! Itakuwa kama mauji ya wafanya biashara wa madini enzi za zombe
mama unda tume ukweli ujulikane.
 
Thread Ya Mwanzo Wa Tukio Kuna Member
Alisema Mke Wa Mheshimiwa Anatakiwa Anywe KVant Baridi Chap Halafu Anakuwa Mkavu
 
Mkuu Tuache roho mbaya hawa wote walikua watu wazima. Kama walikua wanamahusiano walikua hawavunji sheria za nchi Labda tu walikua wanavunja sheria za dini.Tuache mungu ndo atawahukumu
Hivi hizi offer za bia mnazonunuliwa ndio zinawatowa akili kiasi hiki?

Yani unajizima data kabisa, hujui hata maadili nini?
 
Ndiyo maana siku hizi nimejikita tu kuchangia nyuzi za mapenzi na mahusiano maana zile za kisiasa hazina mashiko tena. Tunazipenda familia zetu. JF yetu ya 2007 na 2008 nilipojiunga nikitokea Jambo Forum siyo ya leo tena. Ule msemo wetu wa JF "Where you dare to talk openly". Tuliongea Sana openly. Tulirusha mambo makubwa humu. Tulikuwa members reputable humu yaani activists, intellectuals yaani ilikuwa ni hoja kupangua kwa hoja. Tulipewa mpaka Reputation Powers. Old is Gold. Hahahaha. Siyo siku hizi.
 
Ni 2007 na 2008 edit hapo for future records.
 
Kwaio Naibu waziri akiondolewa waziri ndo Nasra atarudi.Ebu Tuache ujinga kama alikua mchepuko hawa wote wanamakosa kwaio atakaepaswa kutoa adhabu dhidi yao ni mwenyezi Mungu
Sasa serikali duniani zinafanya kazi Gani kama Kila Kitu Mungu anafanya? Hivi angekuwa Binti Yako ndo kafa ungeongea huu upuuzi. Au Kwa mfano umevamiwa na jtu likatatua marinda utasema aachwe Kwa kuwa marinda hayatarudi?
 
Hatua huchukuliwa Kwa mujibu wa Sheria na siyo UPOLE NA BUSARA ZA MTU AU KWA KUMWOGOPA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…