Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya .
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa .
Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke yake
Je ni sahihi mtu kuchukuliwa kwa nguvu hata kama itakuwa ni vyombo vya usalama ? Kama sio nini kifanyike kwa wanao shuhudia haya matukio?
Je tuwaombe hawa watu utambulisho kutoka kwa viongozi wa mitaa
Je tutumie umoja na nguvu kuzuia hilo jambo lisitokee
Je tuombee NIDA na vitambulisho vya wanaofanya zoezi hilo la ukamataji ?
Au ni sahihi tuache wahalifu wakamatwe ,tatizo tutajuaje wanaomchukua muhaligu ni wanausalama .