Bila hata uhuni,Chadema wangeungana na wapinzani wengine ndo wangeweza kupimishana ubavu.Hapa tunatimiza haki ya kikatiba tu.Ila mpango mahsusi peker ndo utawatoa haoKwa uhuni unaofanyika, sina shaka na hilo
wamtoe Makene wampe Hilda Newton
LumumbaWANAOTUMA HIZI PICHA ZA ZAMANI SI VIONGOZI NI WAPIGA DEBE TU
Sio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Hii ni aibu kubwa hata mimi nilistuka kwasababu wakati lissu anatua uwanja wa ndege kahama alipanda nissan patrol yenye usajili wa DKQ ambayo ina sun roof sasa hapa kileo anatweet watu humo ndani ya magari wanaonekana coz ya oblique photograph na lisu hayumo na halina sun roof aibu kubwa kwaoSio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Duh aisee? Hii picha imetrend huko mitandaoni eti Lissu akipokewa huko mwanza na shinyanga.Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Duh aisee? Hii picha imetrend huko mitandaoni eti Lissu akipokewa huko mwanza na shinyanga.
Haikusaidii, tumeamua ni Lisu!Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Mkuu inavyo onyesha chadema kunashida maana hata jana mgombea ubunge jimbo la nyamagana john Pambalu alipositi picha ya 2015 mpaka mtu unajiuliza hivi huyu kweli anafikili kwa kutumia kichwa au hajielewiKuna tatizo kubwa mno chadema hebu fikiria Henry Kilewo katibu wa chadema mkoa mkubwa wa Dar es salaam anapost picha ya mapokezi ya Lowasa mwaka 2015 sumbawanga halafu anasema ni picha ya mapokezi ya Tundu Lisu leo Shinyanga!!!
Dah...wanalipwa na Nani? [emoji2960]WANAOTUMA HIZI PICHA ZA ZAMANI SI VIONGOZI NI WAPIGA DEBE TU
Sio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Dah...Makene ana usingizi sana [emoji1787][emoji1787][emoji2960]wamtoe Makene wampe Hilda Newton
Sisi hatuhitaji kuangalia tv, sisi tupo muda wote you tube, jf, twitter na IG
Huko kunatosha
Diamond alisusiwa nyimbo zake kuchezwa kwenye media, lakini akatusua IG, Youtube na mambo yakaenda
KhaaaaaaSio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Wanachofanya ki kuua chama tena kwa umakini zaidi [emoji847]Sio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Hahaha Hahaha hahahaha hahahaha Dah nilisema CHADEMA IS A SCAMKuna tatizo kubwa mno chadema hebu fikiria Henry Kilewo katibu wa chadema mkoa mkubwa wa Dar es salaam anapost picha ya mapokezi ya Lowasa mwaka 2015 sumbawanga halafu anasema ni picha ya mapokezi ya Tundu Lisu leo Shinyanga!!!