Uchaguzi 2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

Uchaguzi 2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

wako wengi sana watoto wa usalama waharibifu
Hawa ndio wanatumika kukihujumu chama upumbavu mtupu


Hiyo picha ingepositiwa na Lissu mwenyewe,Mbowe au bavicha ningelaumu ila kwa hao walevi Wala siwezi kulaumu

Sana Sana chadema wamfute kazi mala moja Tumaini makene ana utoto mwingi Sana fala yule.
 
Chadema waongo waongo sana.hawaamini mpaka sasa kwanini Lissu hana mafuriko kama ya Lowassa.
 
Pole sana mzee!
Nimeitembelea sn kanda ya ziwa km mikoa mitatu hivi.

Nilichogundua ni 20% ya watu ndo wanaompinga mzee magu.
Nahawa wako maeneo ya mjini tena nikundi la vijana wahuni wanywaji wa kitoko , shimhwa, nk. Nabaadhi ya waajiriwa wa serikari pamoja nakundi la wenye vyeti feki na ndg yawaliotumbuliwa.
Mkuu! Nenda maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo huko kuna mamilioni yawatu nawaliowengi wamejiandikisha, huko wanaona tar..28 oct nimbali wameahidi kusimamisha uchimbaji kupeleka kura kwa JPM, huko vijijini ndio usiseme kuna akina mama na wazee huwaambii kitu kwa jpm wanamuita KAMAGUFURI.
Kwa tathimini yangu wabunge wa upinzani safari hii watakuwa ni wachache sana bungeni.
Mfano... 1.Heche hatoboi
2.E.matiko hatoboi
3.E.bulaya hatoboi ( issue yao na mdee imeshawatafuna huko jimboni wtu wa mkoa akiambiwa na mtu mkubwa anaamini na yy kuwa wakara wakusambaza mwanaharakati huru kawamaliza
3. Mdee hatoboi
4.msigwa yule mama kamkalia vibaya sn
4.Sugu tayari kishashindwa nadhani jn mmeona malalamiko yake.
5.mbowe hatoboi
6.le.a 50/50
7.Nyarandu 50/50
8.mwakajoka 50/50
9.pr J. 50/50
Majimbo ambayo sijayataja yaliyokuwa na wanachadema hayo weka mbali na watoto
Hivyo kwa chadema wachange vyema majimbo haya wakipigwa na haya kuna kila sababu ya hiki chama kusambalatika nadhani dalili zimeonekana mapema.
Kwa ruzuku watakayopata baada ya uchaguzi sijui watalipaje mabilioni wanayodaiwa na mwamba!
 
Sio kweli, kwa mfano tu; huyu ni kilewo ni katibu wa chadema darView attachment 1556643
Huyu huyu Henry Kilewo alogombea Ubunge 2015 akiungwa mkono na yule kimada wake wakiwa na kipaumbele chao cha kwanza endap angechaguliwa waenda kula bata Dubai na kufanya shopping za nguvu. Eti sasa anagombea huko Same, Mgombea gani muongo huyu si ataenda kupeleka uongo Bungeni kama wa Peter Msigwa kumsingizia Mzee Kinana kwamba anafanya biashara ya meno ya Tembo
 
Mbona unaangaika sana yeroo.unalipwa shiling ngapi kwa huu ujinga wako wakuunga unga mambo.Ata kama bado kuna wajinga wengi nchi hii ila sidhani kama wanafika wengi kiasi chawewe kuja na picha yakuungaunga kwenye mitandao wakaiamini.
 
Kilewo sio “mpiga debe”. Hii ni aibu kubwa sana
Kiongozi wa Chadema mhuni, ana bahati kaonewa huruma. Huyu bila aibu alimuwekea pingamizi mgombea wa CCM Mwanga kwa fomu feki ya kiapo aliyotengeneza mwenyewe na kuiweka kwenye mtandao. Alibwana akadai sio yeye watu wame hack accnt yake.
 
Serikali haijazuia kurusha matangazo bali Chadema ndo wanawazuia waandishi kurusha matangazo na kuwatimua katika mikutano yao ili picha halisi ya eneo husika isirushwe ndo kama hivi akia Henry Kilewo wanatuletea picha za Lowasa mwaka 2015
Unafikiri CDM wangewatimua TBC kama walikuwa fair au walikuwa wanafanya hujuma kwenye mikutano yao. Naona mlipata kibali cha kusema baada ya CDM kuwatimua TBC manake kila ccm anasema hivyo hivyo.
 
Pole sana kumbe huna habari kuwa CCM na Mzee Meko hawatakiwi kanda ya ziwa kama hujabahatika kuona video ya lissu nikupe pole kwa mara nyingine tena. Wanasema wale waliokupandisha ndio watakao kushusha vivyo hivyo kwa Mzee Meko wasukuma ndio wakimpa hicho kiti cha urais sasa wamesema basi na ndio haohao watamshusha maana wamechoka na uonevu jumulisha ahadi feki za mzee meko.
Utakuwa uko misinformed
 
CCM kama watoto...Sholomwamba anawabeba kuja watoto
 
Back
Top Bottom