Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio wanatumika kukihujumu chama upumbavu mtupu
Hiyo picha ingepositiwa na Lissu mwenyewe,Mbowe au bavicha ningelaumu ila kwa hao walevi Wala siwezi kulaumu
Sana Sana chadema wamfute kazi mala moja Tumaini makene ana utoto mwingi Sana fala yule.
Kilewo sio “mpiga debe”. Hii ni aibu kubwa sanaWANAOTUMA HIZI PICHA ZA ZAMANI SI VIONGOZI NI WAPIGA DEBE TU
Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Hiyo serikali imemzuia hadi kilewo kurusha picha sahihi kwenye twitter yake?Sawa kabisa mkuu lakini na serikali ya wakati huu ya kimabavu inazuia kurushwa matangazo kwa vyama vingine tuondokane na watu hawa October.
Wewe ni nouma! Umefukunyua hadi chobisi.Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Hicho ni chama cha wahuni!Huu uhuni unakinyima chama uhalali wa kuchaguliwa
eti ndio wachukue ikulu ! Lol !Kuna tatizo kubwa mno chadema hebu fikiria Henry Kilewo katibu wa chadema mkoa mkubwa wa Dar es salaam anapost picha ya mapokezi ya Lowasa mwaka 2015 sumbawanga halafu anasema ni picha ya mapokezi ya Tundu Lisu leo Shinyanga!!!
Nani aliwafukuza TBC kwa kuwapa dakika 15 waondoke kwenye mkutano wa CHADEMA?
Hiyo serikali imemzuia hadi kilewo kurusha picha sahihi kwenye twitter yake?
Unajidanganya! Kura zinazogawanyika ni za CCM kule Kusini ni wana CCM damu kura inaenda kwa Membe!Chadema watagawana kura na Act.
Ccm imeshashinda.Without Alliance ni zero
Lowassa yuko wap hapo...nan asiyekujua wa lumumba hvyo ni kupiga propagandaHabari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Pole sana mzee!Pole sana kumbe huna habari kuwa CCM na Mzee Meko hawatakiwi kanda ya ziwa kama hujabahatika kuona video ya lissu nikupe pole kwa mara nyingine tena. Wanasema wale waliokupandisha ndio watakao kushusha vivyo hivyo kwa Mzee Meko wasukuma ndio wakimpa hicho kiti cha urais sasa wamesema basi na ndio haohao watamshusha maana wamechoka na uonevu jumulisha ahadi feki za mzee meko.
Umetumia akili muda nguvu na hisia zako zote kuandika huo ujinga. Pole sana.Nami nafuatilia kampeni kwenye YouTube ila nimegundua CHADEMA hawakamilishi hotuba za mgombea wao kwa sababu siyo "live". Wanachofanya ni kuzikarabati kwanza zionekane jinsi wanavyopenda. Kama zingerushwa "live" ukweli ungewaacha uchi
Poleni wana lumumba. Hatuwashangai. Mtahangaika sana.Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.
Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.
Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.
Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
.View attachment 1556520
Ulilipwa tungapi kwa utafiti huo wa chekechea?Pole sana mzee!
Nimeitembelea sn kanda ya ziwa km mikoa mitatu hivi.
Nilichogundua ni 20% ya watu ndo wanaompinga mzee magu.
Nahawa wako maeneo ya mjini tena nikundi la vijana wahuni wanywaji wa kitoko , shimhwa, nk. Nabaadhi ya waajiriwa wa serikari pamoja nakundi la wenye vyeti feki na ndg yawaliotumbuliwa.
Mkuu! Nenda maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo huko kuna mamilioni yawatu nawaliowengi wamejiandikisha, huko wanaona tar..28 oct nimbali wameahidi kusimamisha uchimbaji kupeleka kura kwa JPM, huko vijijini ndio usiseme kuna akina mama na wazee huwaambii kitu kwa jpm wanamuita KAMAGUFURI.
Kwa tathimini yangu wabunge wa upinzani safari hii watakuwa ni wachache sana bungeni.
Mfano... 1.Heche hatoboi
2.E.matiko hatoboi
3.E.bulaya hatoboi ( issue yao na mdee imeshawatafuna huko jimboni wtu wa mkoa akiambiwa na mtu mkubwa anaamini na yy kuwa wakara wakusambaza mwanaharakati huru kawamaliza
3. Mdee hatoboi
4.msigwa yule mama kamkalia vibaya sn
4.Sugu tayari kishashindwa nadhani jn mmeona malalamiko yake.
5.mbowe hatoboi
6.le.a 50/50
7.Nyarandu 50/50
8.mwakajoka 50/50
9.pr J. 50/50
Majimbo ambayo sijayataja yaliyokuwa na wanachadema hayo weka mbali na watoto
Hivyo kwa chadema wachange vyema majimbo haya wakipigwa na haya kuna kila sababu ya hiki chama kusambalatika nadhani dalili zimeonekana mapema.
Serikali haijazuia kurusha matangazo bali Chadema ndo wanawazuia waandishi kurusha matangazo na kuwatimua katika mikutano yao ili picha halisi ya eneo husika isirushwe ndo kama hivi akia Henry Kilewo wanatuletea picha za Lowasa mwaka 2015Sawa kabisa mkuu lakini na serikali ya wakati huu ya kimabavu inazuia kurushwa matangazo kwa vyama vingine tuondokane na watu hawa October.