Uchaguzi 2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

Uchaguzi 2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

Kuna tatizo kubwa mno chadema hebu fikiria Henry Kilewo katibu wa chadema mkoa mkubwa wa Dar es salaam anapost picha ya mapokezi ya Lowasa mwaka 2015 sumbawanga halafu anasema ni picha ya mapokezi ya Tundu Lisu leo Shinyanga!!!
Hawezi kufanya hivyo. Huo ni udukuzi. Tuliona umati mkubwa kwa ajili ya Lissu jana Mwanza. Hana haja ya kudanganya. Hizi picha za uongo za Shinyanga zimewekwa na adui wao
 
Sisi hatuhitaji kuangalia tv, sisi tupo muda wote you tube, jf, twitter na IG
Huko kunatosha
Diamond alisusiwa nyimbo zake kuchezwa kwenye media, lakini akatusua IG, Youtube na mambo yakaenda
Nami nafuatilia kampeni kwenye YouTube ila nimegundua CHADEMA hawakamilishi hotuba za mgombea wao kwa sababu siyo "live". Wanachofanya ni kuzikarabati kwanza zionekane jinsi wanavyopenda. Kama zingerushwa "live" ukweli ungewaacha uchi
 
Pole sana kumbe huna habari kuwa CCM na Mzee Meko hawatakiwi kanda ya ziwa kama hujabahatika kuona video ya lissu nikupe pole kwa mara nyingine tena. Wanasema wale waliokupandisha ndio watakao kushusha vivyo hivyo kwa Mzee Meko wasukuma ndio wakimpa hicho kiti cha urais sasa wamesema basi na ndio haohao watamshusha maana wamechoka na uonevu jumulisha ahadi feki za mzee meko.
Unaota wewe?!
 
Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.

Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.

Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.

Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI

.View attachment 1556520
Kwahiyo hata video zinazo tumwa pia huziamini[emoji849][emoji849]
 
Nimeanza kuamini
Ulicholalamikia ni sahihi, na hakiwezi kuungwa mkono na mwenye timamu. Ila kwa namna unavyozidi kusapoti ujinga wa mataga unatufanya tuanze kuhoji juu ya uwezo wako wa kufikiri.

Nadhani ujikite kwenye hoja yako zaidi kuliko kuleta ushabiki usio na tija kwenye hoja ya msingi.

Nadhani tumeelewana mkuu
 
Mbowe sio mtu.
Amevuruga TBC isirushe matangazo kwa sababu ya Chuki binafsi baada ya kuona TBC haikurusha wakati naongea yeye.
Akaona Bora wote tukose ikabidi amharibie na Lisu asionekane.

Mbowe ni mbaya sana ndani ya Chadema na Taifa hili akishirikiana na kundi lake lililokula pesa zote za Ruzuku na michango ya wabunge.

Tumwombee Lisu apite ili abadili na Chama pia mana akikosa atapigwa vita sana na Mbowe mana mbowe ameshagundua kumbe kuna mtu maarufu kuliko yeye.
Mbowe amfeli sana kuorganize kampeni zikae vizuri.

Vijana unawakusanya bila hata kumchukua msanii mmoja kama Roma Mkatoliki na wasanii hata wengine watatu wa kuchangamsha kampeni wakati wa kumsubiru mgombea?
Yote Mbowe anaficha aibu ya kula ruzuku kwa kufunika kombe.
 
Kamanda Makene angeleta picha halisi site mnekata tamaa
Hawa ndio wanatumika kukihujumu chama upumbavu mtupu

Hiyo picha ingepositiwa na Lissu mwenyewe,Mbowe au bavicha ningelaumu ila kwa hao walevi Wala siwezi kulaumu

Sana Sana chadema wamfute kazi mala moja Tumaini makene ana utoto mwingi Sana fala yule.
 
Kwani chadema bila kiki na maigizo na uongo kuna lolote pale?
Unamwonea kaka yangu makene.
Na mkiacha kiki na maigizo ndo kufutika kwenuuu jumlaaa.
 
Chadema wanaposti picha za uongo kwa nini wakati Lissu anakubalika? hii tabia ya kila mtu ndani ya chama kujiamulia kufanya chochote ipigwe marufuku mara moja, huu ni upuuzi, Makene afanye kazi yake mwenyewe, wengine kama wana picha wamtumie kwanza Makene yeye ndie atapost, na kama Makene haiwezi hiyo kazi aondoke ampishe mwingine.
 
Hawa ndio wanatumika kukihujumu chama upumbavu mtupu

Hiyo picha ingepositiwa na Lissu mwenyewe,Mbowe au bavicha ningelaumu ila kwa hao walevi Wala siwezi kulaumu

Sana Sana chadema wamfute kazi mala moja Tumaini makene ana utoto mwingi Sana fala yule.

Imepostiwa na katibu wako wa mkoa
Screenshot_20200903-055908.jpg

Tena kwa msisitizo kaandika .....shinyanga moja hiyoo
 
Habari wana JF, leo nipo kushangaa jambo ambalo sijui imekuwaje linatokea tena kwa viongozi wa chama. CHADEMA imefeli kwenye suala zima la habari kipindi hiki cha kampeni, imefeli sana.

Binafsi sikutegemea kama chama kingeweza kufika huku. Viongozi wetu wanaoongopewa na nani? Ili iweje? Lissu ana wafuasi wengi sana na hata baadhi ya maeneo kwenye kampeni zake watu wamejitokeza wengi, tatizo ni habari kufika kwa wakati kitu kinachopelekea viongozi kutuma habari ambazo sio sahihi kwa Umma.

Viongozi wanatuma picha za mwaka 2015 ili iweje? Mbona za mwaka huu zinaweza kutumika tu vipi zikihaririwa? Chama kifanye tathmini ya yanayoendelea ili kuzidisha imani kwa wafuasi wake.

Kuthibitisha nachosema, link hii hapa kuonyesha hizo picha ni za 2015
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI

.View attachment 1556520
Kwanini picha hii imefutwa maandishi yaliyopo chini upande wa dereva, picha sahihi inaonesha vizuri chini upande wa dereva, gari la mbele (open roof top) ndilo linalotumika sasa, ni ujinga kupotosha kwa picha na haikusaidii
 
Nani aliwafukuza TBC kwa kuwapa dakika 15 waondoke kwenye mkutano wa CHADEMA?
Tuliokuwepo ndiyo tulitaka TBC wafukuzwe hata kabla ya Mbowe kusema na ushahidi ni POST yangu humu niliyoiweka kabla ikisema "Chadema wafukuzeni TBC" kwani hatukuona sababu ya kusikiliza watangazaji wakijadiliana wao na kutupa ratiba za vyama vingine.
 
Hawa ndio wanatumika kukihujumu chama upumbavu mtupu

Hiyo picha ingepositiwa na Lissu mwenyewe,Mbowe au bavicha ningelaumu ila kwa hao walevi Wala siwezi kulaumu

Sana Sana chadema wamfute kazi mala moja Tumaini makene ana utoto mwingi Sana fala yule.
Hali ni mbaya, utafuta kazi wangapi, we jana ulisuggest mtu gani sijui wa kitengo cha habari afutwe kazi, leo tena una suggest huyu afutwe kazi [emoji23].
Mko na hali mbaya sana.
 
Back
Top Bottom