Ni nini sababu na suluhisho kwa wachagga kuwa na meno yenye rangi ya manjano/kahawia?

Sababu kubwa ni uchafu.

Wachanga ni wachafu sana.

Huwa hawapigi mswaki.
Duh, hii kali sana wasio wachaka na wanaishi maeneo hayo na meno ni brown pia wachafu? Wooote wanaoishi maeneo mengine na meno siyo brown ni wasafi wooote?
 
Nakushukuru kwa kujielekeza vilivyo Kwenye mada,
Je , Huduma ya kubrashiwa meno inapatikana wapi na kwa gharama gani?
 
Naungana na NN wengi wao ni wachafu balaa, nilikutana na demu wa chuo lkn ni majanga sijui kwa nini.

NB: sina conglicting interest juu ya hili ni exoerience niliyokutana nayo, na si wote
 
Nakushukuru kwa kujielekeza vilivyo Kwenye mada,
Je , Huduma ya kubrashiwa meno inapatikana wapi na kwa gharama gani?
Mkuu kwa hapa dar, bei zina range kuanzia elfu 30000-50000/=
 
Kuna harusi nilihudhuria mdada meno meupe anacheka na kutabasamu.
Nilipokuja kukutana nae siku ya nne, kidogo nikimbie, meno ka Lily wine.
Naomba kujua ni dawa gani alitumia siku ya harusi.
Unatuuliza sisi kwani tulikua nae siku ya harusi? Ungemuuliza siku ya nne uliokutana nae angekupa majibu
 
Chalii angu hii thread imekaa ki-daslam sana

Mi pia ni muathirika kwa mbaaali but proudly
 
Shukran sana kwa clarification.
 
Naungana na NN wengi wao ni wachafu balaa, nilikutana na demu wa chuo lkn ni majanga sijui kwa nini.

NB: sina conglicting interest juu ya hili ni exoerience niliyokutana nayo, na si wote

Kumbe na wewe unajua eeh?

Safi sana kamanda.

Lazima tuwaambie hao watu.

Wamezidi kuwa wachafu.
 
sio wachaga wala sio moshi tu ni ukanda mzma wa kaskazini kuanzia Tanga hadi Manyara wote wana meno ya aina hiyo n kutokana na maji yana floride kuwa nyng kwenye maji na ww ukikaa kwa mda wa miaka mi5 utapatwa na hilo tatzo
Ni wilaya gani Tanga?
 
Suluhisho wanahitaji kupigia mswaki na Baking soda itasaidia kuondoa calcium na ugwasu wa meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…