Ni nini sababu na suluhisho kwa wachagga kuwa na meno yenye rangi ya manjano/kahawia?

Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Na utawatambua kwa meno yao
 
paulo na we una meno ya gold???
 
Dental bleaching haipunguzi strength ya meno mkuu, yaani haihusiani na kuondoa layer yoyote kwenye jino na hivyo kuexpose kuathirika kama kuvunjika?
 
Nakushukuru kwa kujielekeza vilivyo Kwenye mada,
Je , Huduma ya kubrashiwa meno inapatikana wapi na kwa gharama gani?
Ipo kwenye mahospitali makubwa. Jino moja ni Tshs. 25000/=. Kwa hiyo kinywa kizima ni Tshs. 800,000. Labda uyasafishe ya barazani tu mkuu. Jipange, tena jipange sana!!
 
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Kasoro malavidavi
 
Ivi hii kitu hua inaweza kuondolewa kweli na meno yakarudi kua meupe
 
Kwa jino moja au kinywa kizima?
mkuu hiyo ni kwa jino moja, kinacho zingatiwa hapo ni mwonekano mzuri, na kinacho dictate idadi ya meno yatakayo fanyiwa ni level ya smile line. Kama ipo juu sana inamaanisha kuwa una expose idadi kubwa ya meno pindi unapo tabasamu.
 
Dental bleaching haipunguzi strength ya meno mkuu, yaani haihusiani na kuondoa layer yoyote kwenye jino na hivyo kuexpose kuathirika kama kuvunjika?
ni kweli inaondoa contents za jino, plan ya kufanya matibabu hayo inategemea kiwango cha rangi ya meno. in severe cases ina effects kidogo and not recommended, kwenye mild to modarate dental discoloulation ndo inatowa matokeo mazuri. kuhusu kupungua kwa dental strength ya jino uta utapewa maelekezo ya namna ya kutumia meno yako baada ya procedure hadi kipindi chote cha remineralizarion, ambapo swala kubwa huwa ni sensitivity na si kuvunjika kwa meno kwani procedure yenyewe si haihatatishi usalama wa meno kiasi cha kuyavunja.
 
Asante mkuu,nitafanyia kazi maelezo yako maana na mimi ni mhanga japo sio sana.
 
mkuu hiyo ni kwa jino moja, kinacho zingatiwa hapo ni mwonekano mzuri, na kinacho dictate idadi ya meno yatakayo fanyiwa ni level ya smile line. Kama ipo juu sana inamaanisha kuwa una expose idadi kubwa ya meno pindi unapo tabasamu.
Shukrani kwa maelezo murua
 
Umejibu vizuri sana inaonyesha una ufahamu wa kutosha wa hii mada...siongezi kitu. Mleta mada naamini ameridhika sasa

Nimeshtushwa na kiwango cha sintofahamu kwa baadhi ya watoa comment hapa, steriotyping ya haki ya juu kabisa.
 
Tupo wote mkuu.. kama mzaliwa wa Arusha hiyo ni identity yetuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu juu ya hilo hawapigi mswaki.

Wachafu sana hao watu.

Hata mademu wao vikwapa vyao hutema sana.
Daah we utakuwa na chuki binafsi na wachaga... Inaonesha kwenye maisha yako wachaga wamekupa changamoto sana mpaka unawajengea chuki za wazi wazi na za kijinga. Unakuwa kama huna akili vile...
 
Wakiwa watoto wadogo huwa wanang'atishwa mavi then meno yanabadilika rangi kuelekea ukubwani.

Nilionaga kinyaa saana nilipoiona hiyo..ptuuuu!
 
Ipo kwenye mahospitali makubwa. Jino moja ni Tshs. 25000/=. Kwa hiyo kinywa kizima ni Tshs. 800,000. Labda uyasafishe ya barazani tu mkuu. Jipange, tena jipange sana!!
1.unge recommend hospital/Dr mzuri
2.je huduma haipingwi japo inatolewa mf.kusafisha masikio
3.nilisoma moshi na nimeishi arusha ila hayajawa njano.kuna sababu zaidi MziziMkavu, Preta, Dr. Mo, Watu8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…