NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,858
Reaction score
3,393
Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi
1-Kupitia Payoneer
2- PayPal
3-Direct kuja bank zetu hizi
Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make shilingi pia kipengele, niwe natoa pindi napohitaji tu, ndo nachange pia.

Nipeni msaada ni njia ipi bora, na yenye gharama nafuu zaidi.
Nawasilisha
 
Wakuu kama mimi ni mgeni katika sekta ya kutengeneza pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi

Ngoja Waje wenye uzoefu kwenye hili
 
Pioneer
 
Back
Top Bottom