Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
Wakuu,
Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7
Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana
Ndiyo zake ni kuwa mchezaji mkubwa nchini ila Jana connection,
Mimi Kama Kaka yake nalitumia jukwaa hili huru kuomba msada wa jinsi gani ataweza kuendeleza kipaji chake,nakaribisha makampuni,watu binafsi wenye uwezo wamchukue dogo akaendeleze kipaji chake
Kwa yeyote mwenye mchango au uwezo au anaefahamu namna ya kufanya ili akitumikie kipaji chake please anichek pm