Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

Fanya hivi Tafuta camera nzuri

Akiwa anaenda mazoezi mrekodi
Akiwa na match mrekodi
Akiwa anafanya mazoezi binafsi mrekodi

Ukimaliza usiende mbali anza kuwasiliana na Azam, Simba, Yanga,

Ukimaliza Tafuta agent wa nje wasiliana nao pia

Watumie Hizo Clip

Hakikisha unamtafuta nafasi kwa njia hizo .

Mwambie Kama kipaji kipo afanye Sana mazoezi ya kuijua lugha ya kizungu

Mfundishe kutumia mitandao vzr


Kwa ushauri unaweza mcheki Johmakin na Mobetto namna walivyofanikiwa kuwasiliana na ma Agent

Tumia zaidi mitandao kufanikisha lengo lako.

Pia Mbwana samatta ana Academy south Africa jaribu kutafuta namba yake umuombe ushauri na Connection
 
Back
Top Bottom