Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:-
- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa
- Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima
- Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake
- Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako
- Mzazi mwenzako kuwa na upweke n.k
Kutokana na kuwa na ndoa na mwanamke mwingine; kutatua changamoto zote alizonazo mwanamke wa nje uliyezaa naye inakuwa ngumu.
Sasa wakuu nauliza; ni njia zipi ni sahihi kuishi na mwanamke (mchepuko) uliyezaa naye?
NB: Tukumbuke pia, duniani tunapita.