Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Hamna kitu, ni midosho iliyochangamka, I know the place. Kama unataka nguo kali OG mitumba grade A, nenda Kinondoni kabla hujafika mataa ya Morocco ukiwa unatokea Biafra kuna jamaa anajiita White Collection. Yupo karibu na Safari Automotive. Achana na hayo maduka yao ya midosho. Or jipange uingie WoolWorths.
KWa White bei zitawashinda.
 
Shida wafanyabiashara nao wanatuponza mno na hizo lonya wanazotuletea. kuna vibrand flani flani hivo vina nguo bei za kawaida, ni nzuri na quality nzuri.

Mwaka 2018 nilinunua vi body suits vya mafungu SA, vya H&M na Zara. Nikanunua dozen. Ni cheap tu, na quality yake nzuri sana nilivaa hadi nikachoka wakavigawana madogo vikiwa bado vizuri kabisa.

Kuna nguo ni nzuri na cheap huku haziletwi sijui...
HnM au Zara ukipata yenyewe ni nzuri sana. OG utapata SA au Dubai otherwise US,Euro huko.
 
Usidanganywe hamna tiba nguo ni lazima iishe hata ufanyeje mchawi pesa baba
 
HnM au Zara ukipata yenyewe ni nzuri sana. OG utapata SA au Dubai otherwise US,Euro huko.
Sasa wafanyabiashara wachina wamesikia kilio chetu, bidhaa za kike sasa hivi za Zara ziko za kumwaga, mpaka unajiuliza hii Zara gani, Zara hawajatengeneza kitu kama hiki 😂😂😂

Bongo pagumu sana.!
 
Back
Top Bottom