Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

KWa White bei zitawashinda.
 
HnM au Zara ukipata yenyewe ni nzuri sana. OG utapata SA au Dubai otherwise US,Euro huko.
 
Usidanganywe hamna tiba nguo ni lazima iishe hata ufanyeje mchawi pesa baba
 
HnM au Zara ukipata yenyewe ni nzuri sana. OG utapata SA au Dubai otherwise US,Euro huko.
Sasa wafanyabiashara wachina wamesikia kilio chetu, bidhaa za kike sasa hivi za Zara ziko za kumwaga, mpaka unajiuliza hii Zara gani, Zara hawajatengeneza kitu kama hiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bongo pagumu sana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…