Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Mambo ya fedha ni noma
Brothermen akizikamata mtakoma
Mademu zetu wote wanakuwa wake
Ma sister zangu sina hata cha kusema
Sikilizeni wabunge na kampeni
Wanapotoa ahadi wasizo weza
Kutekeleza
Kiswahili wanakiweza
Kila sentensi mbili katikati kingereza
Yote ni mambo ya fedha
 
Laki moja na nusu kitu gani? Hata usipopiga nyimbo zangu redioni hakuna maneno.

Ndivyo maisha yanachange Leo ndani ya terrano kesho vx au range.
 
Laki moja na nusu kitu gani? Hata usipopiga nyimbo zangu redioni hakuna maneno.

Ndivyo maisha yanachange Leo ndani ya terrano kesho vx au range.
Uko vizuri mkuu
 
Suala sio umri wala uzamani wa kazi ya Msanii, leave apart huo uzamani zingatia ubora wa nyimbo.

Kwasababu ni wazamani huwa mnajitetea kupitia hilo [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…