Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mambo ya fedha ni nomaWewe umezaliwa mwaka 2003 utamjulia wapi Sugu?
Uliza sisi baba zako wadogo ndo tunawajua hawa wasanii wa miaka hiyo vizuri,
Elewa unapozungumzia Sugu unazungumzia moja ya watu waliofanya muziki wa kizazi kipya ukubarike kwenye jamii kama hivi leo.
Ukiweza tafuta nyimbo za Mr 2 zifuatazo:-
-Mikononi mwa polisi
-Mambo ya fedha
-Chini ya 18
-wanakuita Sugu
-Hayakuwa mapenzi
-Hali halisi
Na nyingine nyingi ukizisikiliza ndo utajua kuwa Sugu ni nani!
Brothermen akizikamata mtakoma
Mademu zetu wote wanakuwa wake
Ma sister zangu sina hata cha kusema
Sikilizeni wabunge na kampeni
Wanapotoa ahadi wasizo weza
Kutekeleza
Kiswahili wanakiweza
Kila sentensi mbili katikati kingereza
Yote ni mambo ya fedha