Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sugu 'moto chini'...Dei waka dei waka yeahhhhh dei waka dei waka yeahhhh x 4
Nionjesheni kidogo mashairi ya huu wimbo
Na kuna ule wimbo anasema yupo kwenye mziki kabla ya redio za FM , sijui waitwajeee
Sugu 'moto chini'....Dei waka dei waka yeahhhhh dei waka dei waka yeahhhh x 4
Nionjesheni kidogo mashairi ya huu wimbo
Na kuna ule wimbo anasema yupo kwenye mziki kabla ya redio za FM , sijui waitwajeee
Prof hawezi kuwa kama SUGU, MTU kaimba mpaka miduara halafu mmfananishe na SUGU kweli?Sugu na prof bhana prof ana nyimbo nyingi kali sana sugu za kutafta kwa tochi heshma yake kubwa ni uasisi wa music tz
Mkuu kwa hiyo Nyerere alipong'atua hiyo mwaka 1996 ndio Bwana Sugu alipoachia hiyo ngoma yake?!Bila kupoteza muda huyu ni umri wa kina diamond na ali kiba anasema alianza kumsikiliza 2000 maana yake ni kama mtu aanze kumsikiliza 2016 apime kile kinyimbo takataka cha singeli afananishe na nyimbo ya Kama utanipenda ya Darasa ,au useme marijani rajabu anapitwa na harid chokoraa kwa kuwa ulianza kusikiliza miziki 2000 ,mdogo wangu Unapozungumzia SUGU unatakiwa umfananishe na kina SALEHE JABIL (Nauhakika hujawahi msikia) kinasugu waliheat kipindi kuna AM mpaka leo FM enzi hizo p-funk majani yuko madrasa hebu nikupe kionjo uelewe,nyimbo hii iliimbwa kipindi uchumi umebana baada ya nyerere kung'atuka vigogo wakaanza wizi na vijana tulikuwa na maisha magumu by then mtu wa umri wako suruhisho lilikuwa kuzamia meri au wazazi wawe wa kishua najaribu kukupa imagination ya kulikuwaje kisha sikiliza hapa afu imagine angerekodi kwenye beat za kina joh-makini,huu ulikuwa mwaka 1996 ukiwa hujaanza msikiliza.na kama hujui SUGU anamchango mkubwa kuinua kundi la HARD BLASTERS lililomtoa PROF JAY ,by then wakina nature walikuwa makondakta sugu akipambana .na nyimbo zake nyingi ni za ukombozi mfano a'' ana miaka chini ya 18'' sugu anazungumzia mazingira hatarishi ya kumkuza msichana na nafasi ya kuambukizwa maradhi,etc
Sehemu ktk mistari ya wimbo huo inasema hivi ...wakati wa rumba kali saa moja shuka utosini na kujifanya unawaza mambo mengi ya ofisini, sikiliza kichapo chake pale m'bongo anapozipata, ni mwendo wa viti virefu jirani na nyama choma, na toto mbili tatu za geti au za kona, hii husema tunapoteza mawazo ila mara nyingi hutokea wakati wanazo!Mtoa mada unadanganya umma kwa uandishi wako tu inaonekana sugu ujaanza msikia mwaka 2000 bali umehadithiwa
Hatuna mpenzi wa huu mziki wa kizazi kipya wa kufoka foka anayeweza kudharau kazi za Mh mbilinyi
Historia ya mziki huu kati ya prof Jay na mbilinyi ni kubwa mno huwezi itaja safari ya sugu kwenda ulaya na kutangaza anaacha mziki pasipo mtaja prof Jay
Huwezi kutaja mashairi mazuri na yenye mvuto ya prof Jay pasipo kumtaja sugu
Kiuhalisia sugu ndio alitangulia kutoka kwenye game ila tungo zake zenye mafunzo na ujumbe mfano mikononi mwa polisi, mambo ya fedha, nimesemama, nk, ni nyimbo zilikuwa na ujumbe kupitia tungo hizo ndio zikawashaeishi wasanii mbali mbali kuja na nyimbo zenye ujumbe
Hali hiyo ikapelekea HBC kuja mwaka 2000 mwanzoni wimbo kama chemsha bongo nk, zikipatikana katika ablam ya funga kazi yao HBC, kundi lilomtambulisha prof Jay na badae kuja kama solo artist na wimbo wake jina langu, badae bongo dsm
Watalamu wa mambo wa nakwambia wimbo wa bongo dar es Salam ndio ulisababisha sugu atangaze kuacha mziki na kuamua kwenda marekani kwani ilionekana wazi kabisa kuwa sugu kapata mpinzani na ana uwezo zaidi yake, mpaka kina dolla so walipagawa ukitaka amini prof aliwaumiza kichwa sikiliza wimbo wa wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi ulioibwa na dollar so Kuna mstari anaimba kuwa watu wanasema eti dolla so ni mkali kama Jay hapo ndio ujue prof aliwaumiza vichwa
Stori za mtaani zilisema hivi kipindi prof katoa wimbo wa jina langu aliendaga Tanga akawa anafanya kazi na kampuni ya simu basi ikitokea Siku prof akakutana na sugu prof akawa anaomba ushauri kwa sugu kuwa brother naitaji achia wimbo unaitwa bongo dar es Salam, sasa kwakua sugu alikuwa kaanza pambanisha na prof basi sugu akaja dar fasta akarekodi wimbo kama mnaujua unaitwa dar dsm sema dar es Salam ili prof akitoa wimbo aonekane kaiba wazo la sugu
Bwana wangu prof ni prof tu siku si Siku sugu akasikia prof kachia wimbo bongo dar es Salam akadata sugu jinsi Kijana akivyochambua jiji hap hapo sugu akaomba kuacha mziki na alitamka anaacha mziki
Nimechoka kuandika tushazeeka enzi zetu zimepitishwa inatosha kwa hiki kidogo nilichochangia
Ila ujue pamoja na ukali wote wa prof Jay alikuwa anafichwa na fanani, fanani alikuwa anajua ukitaka amini tafuta ablam ya funga kazi yao HBC sikiliza uandishi wa fanani ndio utajua prof alikuwa hagusi sema ndio hivyo fanani hatuitaji hueshimu mziki hatimae kaishia kwenye uteja
ndugu huu ukata wa leo unaweza mlaumu Magufuli kweli,hapa wa kulaumu kikwete kampa mwenzie kazi ya kurekebisha by then mkapa kaingia kaanza kurekebisha matatizo ya nyerere yaliyomshinda mwinyi hata baada ya kuapply structural adjustment policy iliyosisitiza ukusanyaji mapato ndo maana matajiri wengi 1995 walifilisiwa kwa makadilio makubwa ya VAT utakumbuka wengi walikimbia mikoani wakaenda DAR ,Kariakoo na hata TRA ilianzishwa 1996.been thereMkuu kwa hiyo Nyerere alipong'atua hiyo mwaka 1996 ndio Bwana Sugu alipoachia hiyo ngoma yake?!
album ya JOSEPH hamna kitu mule,halaf prof huwa kila siku analeta story,zali la mentali,nikusaidiaje n.kZa kawaida sana hizo albam ya joseph ni kila ngoma Hatare
TRA imeanzishwa na mwinyi,imeanza kazi kipindi cha mkapandugu huu ukata wa leo unaweza mlaumu Magufuli kweli,hapa wa kulaumu kikwete kampa mwenzie kazi ya kurekebisha by then mkapa kaingia kaanza kurekebisha matatizo ya nyerere yaliyomshinda mwinyi hata baada ya kuapply structural adjustment policy iliyosisitiza ukusanyaji mapato ndo maana matajiri wengi 1995 walifilisiwa kwa makadilio makubwa ya VAT utakumbuka wengi walikimbia mikoani wakaenda DAR ,Kariakoo na hata TRA ilianzishwa 1996.been there
na unapokua na kitu,bongo ni kama new york,kila siku ni sikukuu,utakula kuku na chochote utachopenda,mpaka denda,kila dem atakuita handsome-sugu mwaka 1996Sehemu ktk mistari ya wimbo huo inasema hivi ...wakati wa rumba kali saa moja shuka utosini na kujifanya unawaza mambo mengi ya ofisini, sikiliza kichapo chake pale m'bongo anapozipata, ni mwendo wa viti virefu jirani na nyama choma, na toto mbili tatu za geti au za kona, hii husema tunapoteza mawazo ila mara nyingi hutokea wakati wanazo!
Pitia pitia night kali mitaa ya kinondoni...
Kinadada poa nusu uchi na fegi mdomoni, na kama unagari watajazana madirishani wee.. Na wote wanataka hisani...
Hatukatai Sugu alianzia ila Prf.J ni zaidi ya Sugu.
kiswahili wanakiweza,sentensi mbili katikat kingereza,yote mambo ya fedhaHapo unampata Lady Jaydee!!
Huu wimbo Sugu alimezwa kabisa.
Mikononi mwa polisi ilitoka kipindi cha mkapa wakati kuikosoa serikali lilikua jambo la hatari sana. Alianza harakati zamani sanaSikiliza "mikononi mwa polisi" ndo utajua kuwa hatutaki hadithi watupe vitu halisia hata mtu yeyote mwenye utu anajua kweli mshikaji anaongea vya maana si vitu vya kufikirika
Dahh unahitaji nikuweke chini nikujuze hapa hatutamaliza mdogo wangu.TRA haikuanzishwa kwa uweledi au mapenzi wa mwinyi bali kama mojawapo ya masharti magumu ya kitu ilikuwa inaitwa STRUCTURAL ADJUSTMENT POLICY hii ndo iliyomfanya nyerere ang'atuke hivyo awamu za mwinyi na mkapa zilikuwa zinatibu balaa ya kuanguka urusi (tumaini letu) nyerere akaogopa kumeza matapishi yake ...its a damn long storyTRA imeanzishwa na mwinyi,imeanza kazi kipindi cha mkapa
structural adjustment policy 1&2 haikuwa na masharti ya kuanzisha tra,acha kunifanya mi mtoto na shule sikwendaDahh unahitaji nikuweke chini nikujuze hapa hatutamaliza mdogo wangu.TRA haikuanzishwa kwa uweledi au mapenzi wa mwinyi bali kama mojawapo ya masharti magumu ya kitu ilikuwa inaitwa STRUCTURAL ADJUSTMENT POLICY hii ndo iliyomfanya nyerere ang'atuke hivyo awamu za mwinyi na mkapa zilikuwa zinatibu balaa ya kuanguka urusi (tumaini letu) nyerere akaogopa kumeza matapishi yake ...its a damn long story
Long-term adjustment policies usually include:[1][8]structural adjustment policy 1&2 haikuwa na masharti ya kuanzisha tra,acha kunifanya mi mtoto na shule sikwenda
Yote hayo ni sawa mkuu ila anachojaribu kukieleza mleta uzi kulinganisha uwezo binafsi wa kila mmoja ktk kutunga na kuwasilisha fanani ktk hadhira,Tatizo wengi wanao mponda sugu ni watoto wa juzi tu na wameanza kusikiliza mziki /bongo flavor miaka ya 2000 wakati radio za fm zimeanza kusambaa kwa kasi nchi nzima. Sugu alikua anafanya mziki wakati prof Jay yuko shule tena form 1 huko lutengano tukuyu. Prof Jay na hard blasters wanatoa album ya kwanza sugu ana album 4 sokoni na wakati huo bongo flavor haipigwi redioni. Mr 2 aliubeba mziki toka shimoni single handedly ndipo wakina prof Jay wakaanza kula matunda.