Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Long-term adjustment policies usually include:[1][8]

tizama penye nyekundu ,wazungu walikuwa wanataka tuwa na sound financial institution ndo wamwage mikopo ,usizani mkapa alipenda ilikuwa ni hiyo condition ya pili
SOURCE: wikiepaedia
hapo sio NMB,CRDB(TRDB zamani) n.k,cna hakika kama pakitajwa financial institution na TRA nayo ipo,by the way TRA iliundwa kwenye makaratasi mwa 1994 na kuonekana mtaan 1997 kama sio 96
 
Yote hayo ni sawa mkuu ila anachojaribu kukieleza mleta uzi kulinganisha uwezo binafsi wa kila mmoja ktk kutunga na kuwasilisha fanani ktk hadhira,
Yaani ile perfomance ya Sugu na Prf. J.
Na sio nani wa kwanza kabla ya nani, wote ni wazuri na kila mmoja kafanya makubwa.
Lakn je uwezo binafsi ktk kutunga na kuimba nani ni nani??
ndo umuhimu wa kujua kazi zote za sugu unapokuja,sio kuanzia 'wanakuita sugu'
 
Nadhani mtoa post hamujui 2 proud Bali anamjua sugu Tu, uliza wimbo unaitwa chini ya 18, siku nikianguka, mikononi kwa polisi, far dsm, deiwaka, nje ya bongo, wapi tunakwenda, unaweza kubeza kazi za ii proud au umezaliwa Na kumjua akiwa anaitwa sugu tayari?
Sugu mkari sanaa namkubalii mpk keshoo
 
mkuu sugu ni nouma kipindi hicho alikuwa na jamaa anaitwa balozi na dk levy
Wengi walikuwepo sasa hv wako wapi(wako wapi) balozi bado nipo ninatamba kwenye chat(kwenye chat) nashika ile ile ile moja nambaaa natamba...nauhakika kila mwaka wakubaki kwenye chat yeeeeyaaaahh

Ahahaha balozi mtu mbaya

Mikono juu aanh.mikono juu yeeeyaaah
 
mbali na mziki,huyu wa kuitwa sugu amejijengea zaidi heshima hasa pale alipokataa kutumika kama daraja la kuwaneemesha wanyonyaji wa wasanii kwa kutumia kazi zao kwa malipo kiduchu,hapa ndipo alipotofautiana sana na wenzake,yeye sio mnafiki,anasimamia anachokiamini kwa vitendo,ameanza mziki toka AM hadi FM bado tunamkubali,huyu ni legendary wa ukweli wa hiphop ya bongo
 
Nadhani mtoa post hamujui 2 proud Bali anamjua sugu Tu, uliza wimbo unaitwa chini ya 18, siku nikianguka, mikononi kwa polisi, far dsm, deiwaka, nje ya bongo, wapi tunakwenda, unaweza kubeza kazi za ii proud au umezaliwa Na kumjua akiwa anaitwa sugu tayari?
Atakuwa anaishi mitaa ta LUMUMBA uyu
 
Wengi walikuwepo sasa hv wako wapi(wako wapi) balozi bado nipo ninatamba kwenye chat(kwenye chat) nashika ile ile ile moja nambaaa natamba...nauhakika kila mwaka wakubaki kwenye chat yeeeeyaaaahh

Ahahaha balozi mtu mbaya

Mikono juu aanh.mikono juu yeeeyaaah
Sijui baloz yupo wapi hii ngoma mpk sasa ukiisikiliza lzm utikise kichwaa hawa ndio wanajua mziki
 
Back
Top Bottom