Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Sugu ndio alianzisha bongo flava?!

Una uhakika au unaongea tu kisa umeshiba?!
Hata singeli inakufaa dogo Sugu ni revolutionist sio mbongo flava wanaitwaga matrend setter unaweza amua Leo agombee uraisi kesho hadi babako atataka gombea urahisi amashape Maisha kwa ujumla ya vijana kwa zaidi ya miaka 30 toka kipindi cha mikononi mwa Polisi hadi sasa freedom...ila ndo hivyo dawa ya jeuri ni kua jeuri zaidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada are you a zuzu!?
1.Kipindi cha Sugu hakukuwa na radio fm nyingi!
2.Sugu hakuwa mtu wa promo, hilo alilisisitiza toka enzi!
3.Sugu hakuwa na matamasha mengi, nyimbo nyingi alifanya akiwa nje ya Tanzania!
4.Kipindi cha Sugu video na audio studios hazikuwa sawa na kipindi cha Prof. J!
5.Sugu aliimba maisha kama alivyokuwa akiyaishi!
 
ukitoa wimbo wa Haki,Chini ya 18 na Hold on labda kidogo Hayakuwa Mapenzi nyimbo zote zilizobaki za sugu ni kelele tu...na ukizungumzia nyimbo za harakati Sugu agusi hata robo ya Roma Mkatoliki tofauti yao itakuwa sugu alianza kuchana zamani basi

Mkuu tafuta nyimbo ya Sugu inaitwa NI WAPI TUNAKWENDA ndio utamwelewa huyu jamaa, MIKONONI MWA POLISI, MAISHA
 
"... Sitoi rushwa kwa ma dj wa kibongo,
Dj kama hupigi nyimbo zangu redioni hakuna maneno, Sugu nilianza kuimba kabla ya FM,
Na bado watu walinikubali..."
-wananiita Sugu
 
Habarini Wadau,

Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao.

Mfano mzuri ni "Bongo Dar es salaam"

Nadiriki kusema nyimbo za Proffesor J zote ni nzuri, pia zipo zenye ujumbe na mashairi mazuri yenye Vina kuliko za Mr II.

Labda huu mpya wa "Freedom" japo pia chana yake na ujumbe sio bomba kiviile.

Mr II ni Mwanasiasa, Mwanaharakati na Mzalendo ila Kimziki naona kama anazidiwa sana na wasanii kama Proff J na Afande Sele.

Ni Mtazamo tu.
Dogo, mwaka 2000 Sugu aliitwa Mr ii na alitoka na album ya MILLENNIUM, 2 Proud ulisikia kwenye simulizi tu! It was before that!
 
Sugu haimbagi chochote kile cha maana zaidi tu ya kupata sifa kuwa eti ni rapper wa kwanza na mkongwe hapa Bongo na alichangia kuukuza mziki wa HipHop na rap.

Hamna kitu pale...Prof ndio Msanii Fundi.

Kama wamzungumzia Sugu sawa, ila 2 Proud alikuwa mtu mwingine kabsa na ndio maana leo wamwona bungeni. Jamaa ni mwanaharakati kitambo kuna nyimbo zake hadi hao uliowataja walikuwa wakiziimba. Tafuta hii uickilize kwanza NI WAPI TUNAKWENDA
 
SUGU ni zaidi ya Professor J.

Anayedhani ni Professor J, Hakika huyo ni mtoto wa majuzi tu. Sitashangaa akimsifia hata Juma nature.

Kwakua Hafahamu CHOCHOTE kuhusu mapinduzi ya HiPHOP ya kiswahili ilipoweza kuimbwa na story ikaleta maana, yalipoanzia baada ya kupita wakina Saleh Jabri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kumsikiliza Sugu mwaka 2000. Basi jua kwamba 2proud alitoa album ya kwanza mwaka 1995 inaitwa ni mimi, 1997 akatoa album ya pili "ndani ya bongo", 1998 akatoa album ya tatu " niite mr II" na 1999 alitoa album ya nne "nje ya bongo". Wakati anatoa album zote hizo ulikua wapi?

Ni mimi kama Kingkong, hapa mpaka hongkong,....Shule namaliza sinapakujishikiza, nabaki najiuliza,...Hata kama napenda sasa niganye nini, na hata kama supendi sasa niseme nini, na haya ndio maisha nnayo ishi... oooh.... mpaka shauritanga tukabaki na matanga....
 
Yamenikuta mzee mwenzangu
Sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu
Ukiishi kwa upanga
Utakufa kwa upanga
Mola ndie anaepanga
Hawakawii kukuzushia
Flan ana H.I.V
Wanapakaza hivi hivi

Tukirudi kwenye mitaa ndio baraa, police wanatugasi, wanatamani watumalize kwa risasi,kucheka nataka kulia nataka, nabaki tu mdomo wazi, wasomi wamejazana hakuna kazi, kilichobaki tukazane tu mabibi na mabwana kwani hakuna namna tena
 
bado sijaona msukumo wa kuanzisha TRA toka kwa wakoloni,kama ni inefficiency hao walokua wanakusanya mwanzo wangeongeza tu ufanisi,kwa kweli mwinyi ni kiongozi mwenye maono na busara sana

Opinion yako iko irrelevant mkuu, unaeleweshwa elewa umepewa hadi sources zakuweza pata habari zaidi, Mwinyi alikuwa anafanya maagizo tu ya SAPs. Nyerere alisema hawezi geuka jiwe ikabidi aachie madaraka bila kupenda
 
Tukirudi kwenye mitaa ndio baraa, police wanatugasi, wanatamani watumalize kwa risasi,kucheka nataka kulia nataka, nabaki tu mdomo wazi, wasomi wamejazana hakuna kazi, kilichobaki tukazane tu mabibi na mabwana kwani hakuna namna tena
Yamenikuta mzee mwenzagu sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu.
 
Mtoa mada unadanganya umma kwa uandishi wako tu inaonekana sugu ujaanza msikia mwaka 2000 bali umehadithiwa

Hatuna mpenzi wa huu mziki wa kizazi kipya wa kufoka foka anayeweza kudharau kazi za Mh mbilinyi

Historia ya mziki huu kati ya prof Jay na mbilinyi ni kubwa mno huwezi itaja safari ya sugu kwenda ulaya na kutangaza anaacha mziki pasipo mtaja prof Jay

Huwezi kutaja mashairi mazuri na yenye mvuto ya prof Jay pasipo kumtaja sugu

Kiuhalisia sugu ndio alitangulia kutoka kwenye game ila tungo zake zenye mafunzo na ujumbe mfano mikononi mwa polisi, mambo ya fedha, nimesemama, nk, ni nyimbo zilikuwa na ujumbe kupitia tungo hizo ndio zikawashaeishi wasanii mbali mbali kuja na nyimbo zenye ujumbe

Hali hiyo ikapelekea HBC kuja mwaka 2000 mwanzoni wimbo kama chemsha bongo nk, zikipatikana katika ablam ya funga kazi yao HBC, kundi lilomtambulisha prof Jay na badae kuja kama solo artist na wimbo wake jina langu, badae bongo dsm

Watalamu wa mambo wa nakwambia wimbo wa bongo dar es Salam ndio ulisababisha sugu atangaze kuacha mziki na kuamua kwenda marekani kwani ilionekana wazi kabisa kuwa sugu kapata mpinzani na ana uwezo zaidi yake, mpaka kina dolla so walipagawa ukitaka amini prof aliwaumiza kichwa sikiliza wimbo wa wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi ulioibwa na dollar so Kuna mstari anaimba kuwa watu wanasema eti dolla so ni mkali kama Jay hapo ndio ujue prof aliwaumiza vichwa


Stori za mtaani zilisema hivi kipindi prof katoa wimbo wa jina langu aliendaga Tanga akawa anafanya kazi na kampuni ya simu basi ikitokea Siku prof akakutana na sugu prof akawa anaomba ushauri kwa sugu kuwa brother naitaji achia wimbo unaitwa bongo dar es Salam, sasa kwakua sugu alikuwa kaanza pambanisha na prof basi sugu akaja dar fasta akarekodi wimbo kama mnaujua unaitwa dar dsm sema dar es Salam ili prof akitoa wimbo aonekane kaiba wazo la sugu

Bwana wangu prof ni prof tu siku si Siku sugu akasikia prof kachia wimbo bongo dar es Salam akadata sugu jinsi Kijana akivyochambua jiji hap hapo sugu akaomba kuacha mziki na alitamka anaacha mziki

Nimechoka kuandika tushazeeka enzi zetu zimepitishwa inatosha kwa hiki kidogo nilichochangia


Ila ujue pamoja na ukali wote wa prof Jay alikuwa anafichwa na fanani, fanani alikuwa anajua ukitaka amini tafuta ablam ya funga kazi yao HBC sikiliza uandishi wa fanani ndio utajua prof alikuwa hagusi sema ndio hivyo fanani hatuitaji hueshimu mziki hatimae kaishia kwenye uteja
Hahahah
 
Back
Top Bottom