Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

[quote uid=224175 name="geniveros" post=18036201]sema unachowezaaa

Fanya unachowezaaa
mbona unashangaa!!

mambo ya fedha![/QUOTE]
Sistaduu anapokugeuza wewe ndio dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Leo atataka versace na mini skirt
Kesho atataka passport
Keshokutwa atataka tiketi aende London au America
Si bora nifanye part japo sio pasaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe haujui hata ngoma zake, umefanya sort ya ngoma kadhaa na kutoa conclusion. Katafute na "mikononi mwa polisi" na "dei waka"
Sugu anafichwa hata na "Fanani" wa HBC enzi hizo.

Opinion yako iko irrelevant mkuu, unaeleweshwa elewa umepewa hadi sources zakuweza pata habari zaidi, Mwinyi alikuwa anafanya maagizo tu ya SAPs. Nyerere alisema hawezi geuka jiwe ikabidi aachie madaraka bila kupenda
umeamua tu kuchagua upande kwa kuwa 'umeona' kaweka source..hujaingia ndani ya hoja yake,pitia post moj baada ya ingine uone alivyo kigeugeu

Sugu ni nouma sn kwenye nyimbo take mambo ya fedha tunasema mengi mengine tunamezeaaaaaaaaaa mbali na halo anamiaka chini ya 18 tafuta hizo nyimbo usikilize utakubali mwenyewe na ulimwengu wa ss

Sent using Jamii Forums mobile app

bongo dar es salaam ni nyimbo ambayo pro j aliiboresha kutoka kwa sugu pia sugu alianzisha music wa bongo flavour na kufanya vijana wengi kufanya mziki huu lakini prefesa j alifanya mapinduzi ya music huu , kwaiyo kusema nani ni bora sio sawa hapo kila mtu alifanya part yake
Nakukubali. Prof Jay anamtaja SUGU kama mentor wake, waache watoto wawashabikie watoto wenzao!

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom