Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

Wengi walikuwepo sasa hv wako wapi(wako wapi) balozi bado nipo ninatamba kwenye chat(kwenye chat) nashika ile ile ile moja nambaaa natamba...nauhakika kila mwaka wakubaki kwenye chat yeeeeyaaaahh

Ahahaha balozi mtu mbaya

Mikono juu aanh.mikono juu yeeeyaaah
JAMAA SIJUI KAFIA WAPI HUYU
 
Safi sana!upo vizuri
Ana miaka chini ya 18
Kila nikimtizama macho anatizama chini
Hawezi kunitazama usoni
Ana huzuni moyoni
Hana furaha maishani
Sita mwita kwa jina nitamwita bit fulani
Ana miaka chini ya 18
Ameisha olewa na kuachika mara 8
Hana mbele wala nyuma
Kila anapopita watu wanamtazama kama sinema
Hataweza kurudi kwa baba na mama
Anaishi maisha mabaya
Hawamwiti tena kwa jina wanamwita malaya
Hana tena ndoto za kwenda ulaya
Mchana mkikutana atakuita kaka
Na usiku mkikutana atakutaka
Sina hakika ameisha taka wangapi
Mwenye HIV ni yupi
Na atauwa wangapi
Ana miaka chini ya 18
Ameisha toa mimba 8
Hata skirt zinampwaya
Hali mbaya mambo magumu
Wala hakumbuki tena pafume
Na mara nyingi amejaribu kunywa sumu
Sister sister hasikii hata ninapomwita
Yamemkuta yalomkuta
Ana miaka chini ya 18
Kisha poteza umbo lake namba 8

Hata chuchu si saa sita tena
Hana cha kuringa tena
 
hapo sio NMB,CRDB(TRDB zamani) n.k,cna hakika kama pakitajwa financial institution na TRA nayo ipo,by the way TRA iliundwa kwenye makaratasi mwa 1994 na kuonekana mtaan 1997 kama sio 96
A financial institution is an establishment that conducts financial transactions such as investments, loans and deposits. (Government revenue deposits) Kazi ya tra ni kusimamia mapato ya serikali kukusanya fedha ,kurudisha refund ,kukadilia mapato zote hizo ni financial transaction hivyo yenyewe ni Financial institution ,aidha tra ilianza operation
July 1996 na si 1997 ,mimi nikiwa muajiriwa wao ,bwana mdogo.

Aidha kazi yangu ya pili ni kukuthibitishia TRA ilitokana na SAP's Nanukuu taarifa ya KEPA ya Finland ya mwaka 1998 ikiisifu Tanzania nina quote '
'' Since 1986, fiscal policy and budgetary management have aimed at improving the budgetary situation. Aim was to create conditions in which tax and non-tax sources of revenue could fully finance the government’s recurrent projects as well as part of the development budget. The reform process entailed increased efforts concerning expenditure controls and tax administration, including the establishment of the Tanzania Revenue Authority (TRA). Following these measures, budgetary performance improved slightly. Fiscal deficit related to GDP declined from 10.6per cent during 1981-1985 to 3.7per cent during 1994-99.''
KUISOMA REPORT YOTE HII HAPA
https://www.kepa.fi/tiedostot/julkaisut/world-bank-and-structural-adjustment.pdf

Kaka unamengi ya kujifunza kwanza unapozungumzia baadhi ya mambo uliyoyasoma sisi tuliyaishi,anyway ndo maana unaamini prof jay ni mkali kuzidi Mr II.
 
kabla ya hapo,wakati wa mwalimu hawakuwa wakikusanya kodi?..maana TRA haikuwepo
 
walikuwa inefficient sana ndo wazungu wakaja na mkakati huo kagoogle structural adjustment reforms to indepted countries utaelewa sanaa
bado sijaona msukumo wa kuanzisha TRA toka kwa wakoloni,kama ni inefficiency hao walokua wanakusanya mwanzo wangeongeza tu ufanisi,kwa kweli mwinyi ni kiongozi mwenye maono na busara sana
 
bado sijaona msukumo wa kuanzisha TRA toka kwa wakoloni,kama ni inefficiency hao walokua wanakusanya mwanzo wangeongeza tu ufanisi,kwa kweli mwinyi ni kiongozi mwenye maono na busara sana
Ndo naborekaga hivi jamii forum nani kawataja wakoloni,hebu nikuache inahitaji darasa la siku nzima kukuelimisha ,kwa hiyo mashirika ya umma kuna hata moja aliloliendesha kwa faida huyo mwinyi .kwaheri
 
ah ah kweli nimeamin safari moja huanzisha nyingine
 
Wengi walikuwepo sasa hv wako wapi(wako wapi) balozi bado nipo ninatamba kwenye chat(kwenye chat) nashika ile ile ile moja nambaaa natamba...nauhakika kila mwaka wakubaki kwenye chat yeeeeyaaaahh

Ahahaha balozi mtu mbaya

Mikono juu aanh.mikono juu yeeeyaaah
Balozi balaa dah! Marekani imemeza vipaji vyetu, ilikuwa humwabii mtu kuhusu marekani kipndi kile nw day watu wanaona ujinga kwenda state,coz bongo watu wanatengeneza mamilion
 
ukitoa wimbo wa Haki,Chini ya 18 na Hold on labda kidogo Hayakuwa Mapenzi nyimbo zote zilizobaki za sugu ni kelele tu...na ukizungumzia nyimbo za harakati Sugu agusi hata robo ya Roma Mkatoliki tofauti yao itakuwa sugu alianza kuchana zamani basi

dah sugu ndio umemshusha hadi kulimlinganisha na roma? haya bana inawezekana wewe umezaliwa umekuta sugu kaacha mziki
 
Habarini Wadau,

Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao.

Mfano mzuri ni "Bongo Dar es salaam"

Nadiriki kusema nyimbo za Proffesor J zote ni nzuri, pia zipo zenye ujumbe na mashairi mazuri yenye Vina kuliko za Mr II.

Labda huu mpya wa "Freedom" japo pia chana yake na ujumbe sio bomba kiviile.

Mr II ni Mwanasiasa, Mwanaharakati na Mzalendo ila Kimziki naona kama anazidiwa sana na wasanii kama Proff J na Afande Sele.

Ni Mtazamo tu.

bongo dar es salaam ni nyimbo ambayo pro j aliiboresha kutoka kwa sugu pia sugu alianzisha music wa bongo flavour na kufanya vijana wengi kufanya mziki huu lakini prefesa j alifanya mapinduzi ya music huu , kwaiyo kusema nani ni bora sio sawa hapo kila mtu alifanya part yake
 
Sugu alikuwa anarap au alikuwa anapiga kelele? Heshima ya ukongwe na jina la baba ake Mbilinyi ndo lilimbeba ila kuimba Sugu hamna kitu!

Kwa percent nitampa 17 ya Prof J!!!

Kidooogo ungemfananisha na Baba Levo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu ndio alianzisha bongo flava?!

Una uhakika au unaongea tu kisa umeshiba?!
 
1. Nimesimama

2. Ndani ya Bongo

3. Ni ndoto

4. Nje ya Bongo

5. Chini ya 18

6. Mikononi mwa polisi

7. Hold on

Etc...
 
Sugu alikuwa anarap au alikuwa anapiga kelele? Heshima ya ukongwe na jina la baba ake Mbilinyi ndo lilimbeba ila kuimba Sugu hamna kitu!

Kwa percent nitampa 17 ya Prof J!!!

Kidooogo ungemfananisha na Baba Levo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitoto ya siku hizi sijui mnakula nn mnasikiliza miziki mi3 mshajifanya wachambuzi hivi unamjua 2 proud aka mr 2 wa 1990-2000 au sugu wa wakati umewajua wanawake hebu tujifunze kuheahim wakubwa basi kama prof j aliwaelewesha wazazi wako kusikiliza bongo flava basi sugu ndo aliowarusha debe wazazi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom