Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

hapo sio NMB,CRDB(TRDB zamani) n.k,cna hakika kama pakitajwa financial institution na TRA nayo ipo,by the way TRA iliundwa kwenye makaratasi mwa 1994 na kuonekana mtaan 1997 kama sio 96
 
ndo umuhimu wa kujua kazi zote za sugu unapokuja,sio kuanzia 'wanakuita sugu'
 
Sugu mkari sanaa namkubalii mpk keshoo
 
mkuu sugu ni nouma kipindi hicho alikuwa na jamaa anaitwa balozi na dk levy
Wengi walikuwepo sasa hv wako wapi(wako wapi) balozi bado nipo ninatamba kwenye chat(kwenye chat) nashika ile ile ile moja nambaaa natamba...nauhakika kila mwaka wakubaki kwenye chat yeeeeyaaaahh

Ahahaha balozi mtu mbaya

Mikono juu aanh.mikono juu yeeeyaaah
 
mbali na mziki,huyu wa kuitwa sugu amejijengea zaidi heshima hasa pale alipokataa kutumika kama daraja la kuwaneemesha wanyonyaji wa wasanii kwa kutumia kazi zao kwa malipo kiduchu,hapa ndipo alipotofautiana sana na wenzake,yeye sio mnafiki,anasimamia anachokiamini kwa vitendo,ameanza mziki toka AM hadi FM bado tunamkubali,huyu ni legendary wa ukweli wa hiphop ya bongo
 
Atakuwa anaishi mitaa ta LUMUMBA uyu
 
Sijui baloz yupo wapi hii ngoma mpk sasa ukiisikiliza lzm utikise kichwaa hawa ndio wanajua mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…