Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

Karibuni wanajamvi tupeane updates

Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
 
CHADEMA ,na vibweka vyao hawana ,wana mashee ,wanasheria wanajisifu ni wabobezi,makadinali ,silaa ,mtukanaji wao ,watupe uzushi waliokusanya eei maana kimya kirefu kina mshindo,.....chezea ccm.
 
masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
Chezea TEC wewe? Hawa jamaa kwa mambo yenye maslahi ya moja kwa moja nao hawana mchezo, ila sijui katiba, demokrasia na haki za binaadamu hutakaa usikie WARAKA, watalalamika kishkaji tuu!
 
Karibuni wanajamvi tupeane updates

Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
Yale masharti ya IGA yanambeba sana.
-Mtu ana mkataba wa milele kwa nini aharakishe kujitokeza hadharani ilhali hali ya hewa haijatulia?
-Mkataba unamruhusu hasa asipofanya chochote anaendelea kuwa mmilki 'halali' wa bandari za Tanganyika, ya nini aharakishe kufanya vitu?
Kwa kifupi waarabu wameamua kuji camouflage ili wabongo wajishau kwanza.
Ni kama waswahili waemavyo 'kuku wako manati ya nini?'
 
masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
Dec tena🤪
 
Back
Top Bottom