Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

Yale masharti ya IGA yanambeba sana.
-Mtu ana mkataba wa milele kwa nini aharakishe kujitokeza hadharani ilhali hali ya hewa haijatulia?
-Mkataba unamruhusu hasa asipofanya chochote anaendelea kuwa mmilki 'halali' wa bandari za Tanganyika, ya nini aharakishe kufanya vitu?
Kwa kifupi waarabu wameamua kuji camouflage ili wabongo wajishau kwanza.
Ni kama waswahili waemavyo 'kuku wako manati ya nini?'
Ni mjinga tu atakayekataa trilioni 26.....zaidi ya nusu ya bajeti ya mh.Dr.Mwigulu......

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
The MP’s are the ones who voted for the deal.

In all honesty folks. How many of you"out there" give a flying fig about what power games our "representatives" want to play?

It's time to hold them to account to do their jobs. Which is to represent the constituency that voted them into office. Bring jobs to the constituent, and solve the issue that faces citizens.

Get funding from the government, and represent the constituency in any other matter, not voting for bogus contracts just to personally benefit.

Like what we hear about corruption.

Either be a member of parliament that does those things for your constituency, or get out of the way.
 
Wameachwa wafanye wanachokiona kiko sawa ila maonyo yamekwisha tolewa.
 
Nasikia wanaendelea kimya kimya wakuwafanya kitu hayupo
 
masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
Makubaliano ya kisekta yataweka sawa issues zote zilizolalamikiwa kama vile ukomo wa mkataba na kuainisha maeneo ila mikataba ya kisekta itakuwa siri.
Bunge kama wawakilishi wa wananchi tumeshapitisha kwanza, sasa ndo tunawasikiliza maoni yao
 
Makubaliano ya kisekta yataweka sawa issues zote zilizolalamikiwa kama vile ukomo wa mkataba na kuainisha maeneo ila mikataba ya kisekta itakuwa siri.
Bunge kama wawakilishi wa wananchi tumeshapitisha kwanza, sasa ndo tunawasikiliza maoni yao
Siri ya Nini , 👆 kwenye mikataba, kwani Haya ni mapenzi
 
Back
Top Bottom