TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
- Thread starter
- #41
Ndio nasubiri aje kujibu kakimbia atakuwaLucas Mwashamba anasemaje kwani?
Ok oooohSoon, very soon!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nasubiri aje kujibu kakimbia atakuwaLucas Mwashamba anasemaje kwani?
Ok oooohSoon, very soon!.
P
Nakuja, nimemwita bi mkubwa aje anisaidie kubeba mabegi yangu, si unaona yuko Doha tangu juzi?Karibuni wanajamvi tupeane updates
Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
tutahakikisha hutokuwa salama hata ndumba tutatumia utakiona cha mtema kuniNakuja, nimemwita bi mkubwa aje anisaidie kubeba mabegi yangu, si unaona yuko Doha tangu juzi?
Karibuni wanajamvi tupeane updates
Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
Hamna loloteHii sitawaambia tenah kama huna chombo cha silaha ya moto usizungumzie hii ishu utalegea vibaya sana usjvunie mwanasheria mana watu Wana print hela
Poa poa kaz njemaHamna lolote
Sasa mtu usipoitetea nchi ya urithi wa wanao utatea kitu gani tena. Bora uwe andazi uliwe kwa chai tu.Hii sitawaambia tenah kama huna chombo cha silaha ya moto usizungumzie hii ishu utalegea vibaya sana usjvunie mwanasheria mana watu Wana print hela
Ni kwer sana kaka walaa haina matataSasa mtu usipoitetea nchi ya urithi wa wanao utatea kitu gani tena. Bora uwe andazi uliwe kwa chai tu.