Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji2956][emoji109][emoji109]CHADEMA ,na vibweka vyao hawana ,wana mashee ,wanasheria wanajisifu ni wabobezi,makadinali ,silaa ,mtukanaji wao ,watupe uzushi waliokusanya eei maana kimya kirefu kina mshindo,.....chezea ccm.
Ni mjinga tu atakayekataa trilioni 26.....zaidi ya nusu ya bajeti ya mh.Dr.Mwigulu......Yale masharti ya IGA yanambeba sana.
-Mtu ana mkataba wa milele kwa nini aharakishe kujitokeza hadharani ilhali hali ya hewa haijatulia?
-Mkataba unamruhusu hasa asipofanya chochote anaendelea kuwa mmilki 'halali' wa bandari za Tanganyika, ya nini aharakishe kufanya vitu?
Kwa kifupi waarabu wameamua kuji camouflage ili wabongo wajishau kwanza.
Ni kama waswahili waemavyo 'kuku wako manati ya nini?'
Ungeandika kirundi tuu kuna mtu agetafsiri.Mama si alikuwa Qatar!! Siku hihi hawakutani Dubai tena kwani mnwastukia!!!
Ni uwekezaji mkubwa sio shughuli ndogo.November tenaπππ
Oktoba wamekwama wapi?
Subiria HGA isainiwe Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGAKaribuni wanajamvi tupeane updates
Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?πππ
Lini inasainiwa?muda unakwendaπππSubiria HGA isainiwe
Lucas Mwashamba anasemaje kwani?Karibuni wanajamvi tupeane updates
Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?πππ
Makubaliano ya kisekta yataweka sawa issues zote zilizolalamikiwa kama vile ukomo wa mkataba na kuainisha maeneo ila mikataba ya kisekta itakuwa siri.masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
Ilikuwa Oct, ikaw Nov,sasa December?masuala yote ya kisheria yameshakamilika kwa pande zote mbili kukubaliana kuanza utekelezaji wa mikataba yote ya kisekta kuanzia mwishoni mwa Dec. 2023.
Ni hayo tu.
Ulisema Nov, umewaongezea mwezi tena!!
Soon, very soon!. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGALini inasainiwa?muda unakwendaπππ
Trxy43"*#?;''*78)Ba9a haza rasi bydih, gali n7etek frasi f3ini
Tb3t liyam ma3rft 9lbi, fin ghay weselni
Bghitek lbar7 wlyum nsit, nbghik men jdid
okay kua mpoleIlikuwa Oct, ikaw Nov,sasa December?
Wakianza nistue nije niwasabahi.
Siri ya Nini , π kwenye mikataba, kwani Haya ni mapenziMakubaliano ya kisekta yataweka sawa issues zote zilizolalamikiwa kama vile ukomo wa mkataba na kuainisha maeneo ila mikataba ya kisekta itakuwa siri.
Bunge kama wawakilishi wa wananchi tumeshapitisha kwanza, sasa ndo tunawasikiliza maoni yao