Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Serengeti lite hata watoto wanaweza kunywa..haina uchungu wowote.

Sema wewe tu sista duu..
 
Umeshawahi kuwa baunsa na hujawahi hata kwenda gym kwa bahati mbaya?

Ni ile siku nimekunywa Konyagi,bwana kuna hali flani nilikua najiona kama

yule jamaa kwenye bapa la konyagi,Mimi ndio nataka kusikilizwa tu,tunarudi hostel

nafikishwa nnje hostel ilikua imezungushiwa senyenge,kupita ni lazima uiname uingie

kwani Baunsa mimi nataka kuinama sasa,yani naiambia senyenge inipishe mi nataka kupita

Buraza hiyo siku Ni yule mpenzi nliekua nae tu ndie alietumia akili nikajikuta kitandani,ila unafkiri

iliishia hapo? nilitapika nadhani bado kidogo nitapike utumbo,maana macho yalinitoka si kawaida..Kampani mbaya asee...
 
Pole sana Kvant sio ya kichanganya na pombe nyengine [emoji23]
 
Jaribu kuchanganya na wine
 
Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajui matumizi sahihi ya spirit,hawatofautishi na beer.mnajimiminia tu

NB:bia bingwa weka mbali na watoto, yaani hata ukisema nitoe lock tu yenyewe inakuharibia siku nzima
Ina hangover sana?
 
Njoo tunywe serengeti [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Halafu si wanasema amarula inapandisha genye kifala nyie ilikuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…