Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Unadhani masikhara...ni kweli kabisa.
Kvant inanyeggeza sana.
Wengi wake kwa waume wanaoitumia huwa tunaishia pabaya.
Na hata ukiingia bar, ukikuta dume anapiga hio kitu...kaa mpaka mwisho utaona lazima atongoze.
Sijui imewekwa nini
me nilikunywa saint anna chupa 2 nilikuwa na mshikaji aliyekuwa ananitongoza ila nikawa namtolea nje!siku hiyo tumetoka out nikanywa hizo chupa mbili ndo mapenzi yakaanzia hapo hadi sasa hivi ni wangu
 
Kabisa iko hivyo.
Ile spirit inadhalilisha sana.
Mie Saint Anna huwa silewi...nikinywa nasikia kulala tu.
Mie huwa nachanganya Kvant na safari...hilo vibe lake si mchezo.
Nasaula tu popote.
 
hahahaa eti unasaula popote!mimi nilijikuta natamani aninyonye mate tu nayeye kama alijiongeza
Eeeenh unasema
 
Kabisa iko hivyo.
Ile spirit inadhalilisha sana.
Mie Saint Anna huwa silewi...nikinywa nasikia kulala tu.
Mie huwa nachanganya Kvant na safari...hilo vibe lake si mchezo.
Nasaula tu popote.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe utakua noma sana kwenye mahaba
 
Back
Top Bottom