Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulenywa areku mwanamae [emoji23][emoji23]Nilikunywa piwaa watu wa rombo nadhani wanaifahamu hakika nilijinyea
Na gongo ilikuwa ikiniunguza sana mdomo
Sasa hivi nadhani wameichakachua sana TBL maana watu wanakunywa hawajinyei tena ila wanakuwa na mambo ya ajabu kwa bia moja tuBingwa ilikuwa ni noma ,watu walikata moto sana.
Sasa hivi haina shidaBia bingwa, ilisababisha nikatapika mbele ya mama mkwe
Mambo ya ajabu kama yapi brother?Sasa hivi nadhani wameichakachua sana TBL maana watu wanakunywa hawajinyei tena ila wanakuwa na mambo ya ajabu kwa bia moja tu
Kuanza kuongea mwenyeweMambo ya ajabu kama yapi brother?
me nilikunywa saint anna chupa 2 nilikuwa na mshikaji aliyekuwa ananitongoza ila nikawa namtolea nje!siku hiyo tumetoka out nikanywa hizo chupa mbili ndo mapenzi yakaanzia hapo hadi sasa hivi ni wanguUnadhani masikhara...ni kweli kabisa.
Kvant inanyeggeza sana.
Wengi wake kwa waume wanaoitumia huwa tunaishia pabaya.
Na hata ukiingia bar, ukikuta dume anapiga hio kitu...kaa mpaka mwisho utaona lazima atongoze.
Sijui imewekwa nini
Kabisa iko hivyo.me nilikunywa saint anna chupa 2 nilikuwa na mshikaji aliyekuwa ananitongoza ila nikawa namtolea nje!siku hiyo tumetoka out nikanywa hizo chupa mbili ndo mapenzi yakaanzia hapo hadi sasa hivi ni wangu
hahahaa eti unasaula popote!mimi nilijikuta natamani aninyonye mate tu nayeye kama alijiongezaKabisa iko hivyo.
Ile spirit inadhalilisha sana.
Mie Saint Anna huwa silewi...nikinywa nasikia kulala tu.
Mie huwa nachanganya Kvant na safari...hilo vibe lake si mchezo.
Nasaula tu popote.
Nilimix konyagi na kevant sitosahau kilichonikuta..
Imeniuma pia huyu baba apumzike kwa amani amekua msaada sana kwa taaifa letu na tumepige hatua kimaendeleo na yanaoneka, Mungu ampuzishe kwa amaniBest
Nimetoka kuaga mwili pale uhuru, roho imeniuma, sijisikii vizuri[emoji24][emoji24][emoji22]
Hahahahhahahaa eti unasaula popote!mimi nilijikuta natamani aninyonye mate tu nayeye kama alijiongeza
me nilikunywa saint anna chupa 2 nilikuwa na mshikaji aliyekuwa ananitongoza ila nikawa namtolea nje!siku hiyo tumetoka out nikanywa hizo chupa mbili ndo mapenzi yakaanzia hapo hadi sasa hivi ni wangu
Eeeenh unasemahahahaa eti unasaula popote!mimi nilijikuta natamani aninyonye mate tu nayeye kama alijiongeza
Bado wewe [emoji849][emoji849][emoji849]Eeeenh unasema
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe utakua noma sana kwenye mahabaKabisa iko hivyo.
Ile spirit inadhalilisha sana.
Mie Saint Anna huwa silewi...nikinywa nasikia kulala tu.
Mie huwa nachanganya Kvant na safari...hilo vibe lake si mchezo.
Nasaula tu popote.
Baba paroko nakunywa fanta passion mimi ikiletwa thread yetu utanionaBado wewe [emoji849][emoji849][emoji849]
Madam B lini nikuletee Saint AnnaHahahah
Ile achana nayo.
Inakuandaa mwenyewe...hadi raha jamani
Ulijuaje, yaani nakuwa mcharoooooo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe utakua noma sana kwenye mahaba