Ni Programming Language gani unaisoma sasa?

How powerful is python sir
Ni lugha rahisi kujifunza, ina fit kwenye angle nyingi zaidi pia unaweza kuitumia pekee inajitegemea bila kuhusisha au kuchanganya na lugha zingine.

Pia soko lake linakuwa kubwa siku hadi siku na experts wengi hubashiri kwamba ndio future languag.
 
Mimi nakusudia kupiga c++ na java.Lugha ambayo nimekuwa nikiitumia(VB) nimeshaichoka sasa na nimeona ni muda muafaka wa kuihama na kusoma language za kibabe kama c++
 
Hamna cha future language, kila lugha inazidi kuboreshwa na kuwa bora zaidi.
Leo hii hata JavaScript inapiga mzigo wa backend vizuri tu, ukitumia Typescript na Nodejs, unakuta unafanya fullstack kwa lugha moja.
 
C++ unataka kuitumia kwenye nini?
 
Hamna cha future language, kila lugha inazidi kuboreshwa na kuwa bora zaidi.
Leo hii hata JavaScript inapiga mzigo wa backend vizuri tu, ukitumia Typescript na Nodejs, unakuta unafanya fullstack kwa lugha moja.
Lakini bado haibadilishi ukweli kwamba python is very power language compared to JS.

Mfano una project ya AI utumia JS kweli? Au una project ya data science utatumia JS?

Nakubaliana na jamaa aliposema python is the future maana tunapoenda DS na AI/ML zinaenda ku dominate..

Na kama unavyo jua DS na AI/ML = Python!
 
kweli kabisa hapo kwenye ML na AI ndio tunaenda huko zaidi hakuna kukwepa huko
 
Lakini bado haibadilishi ukweli kwamba python is very power language compared to JS.

Mfano una project ya AI utumia JS kweli? Au una project ya data science utatumia JS?

Nakubaliana na jamaa aliposema python is the future maana tunapoenda DS na AI/ML zinaenda ku dominate..

Na kama unavyo jua DS na AI/ML = Python!

Kama nilivyokutajia hapo, wadau wa kila lugha hawalali, wanakesha wakiboresha, ni ushindani wa kufa mtu, yes JavaScript unapiga nayo mzigo wa ML kabisa, kunazo libraries na madude kibao yanaachiwa na kuboreshwa kila siku. Kwa miaka yote ambayo nimekua kwenye hii fani nimejifunza kutoidharau lugha yoyote.

Kumbuka kuna multimillion companies behind these languages, watu wamewekeza kishenzi, hela ndefu kwenye R&D, kwa mfano Facebook wamemwaga mamilioni ya hela kuboresha ReactJS, humo kuna ma-geniuses hawalali wakiwaza namna ya kuifanya bora, njoo Google ukute nao hawalali wakiwaza Angular na zote hizo ni JavaScript...yaani mifano iko mingi.

Ukiwa mbobezi kwenye lugha moja, usichukulie poa lugha zingine, wewe tumia kile kilicho mbele yako nenda nacho hivyo hivyo.
Halafu usitegemee sana reviews za majuu baina ya wazungu, wale wako kwenye level nyingine hata ukiona wanacholalamika dhidi ya baadhi ya hizi lugha haitokuja ukumbane na changamoto zake kwenye hivi vimiradi vya Afrika.

Miaka yote huko majuu wanaponda PHP, ila mimi hapa napiga mzigo kwa PHP tena natia hela ndani bila mahangaiko yoyote.
 
Nakubaliana na wewe unaposema kuna JS inatumika kwenye ML, lakini kati JS na python ni ipi iko prefered kwenye AI? Ndio JS ipo lakini python ndio the best when it comes AI Hilo halina ubishi!

Ni sawa uongelee IoT ndio kuna python lakini ukweli utabaki kwenye IoT the best language ni C/C++!!

Hivyo tukubali tu kwamba pamoja na uwepo wa js lakini kwenye AI na DS python iko ahead several miles!!

All in all right tool to the right job na kila language ina faida na weaknesses zake!!
 
Wala sijabisha kwamba Python is preferred language likija suala la ML, kuna madude wamewekeza humo na wanaendelea kuifanya iwe bora, ila nilichokua nasema kwa sasa haina maana kama wewe expert wa JS ucharuke na kuanza Python kisa umeskia mtu kasema ndio lugha ya future maana hamna namna rahisi ya kubashiri ipi lugha ya future.

Kwa namna JavaScript inavyozidi kuboreshwa na mamilioni kuwkezwa humo aisei sio rahisi kuiondoa, kwanza inapunguza learning curve kama unataka kufanya fullstack, leo hii nachomoa mradi wenye mobile app (Ionic JS), Web app Angular na NodeJS nikitumia Express, Desktop app natumia Electron vyote JavaScript maana kwamba ni codebase moja na lugha moja, hivyo hata developers wangu wa ndani hawana haja ya kupapatikia lugha kote kote, wanapata darasa la lugha moja tu na mambo yanakwenda.

Tukihitaji ML humo humo kwenye JavaScript imeshawekezwa tayari, tukihitaji IoT wamo pia....

Kimsingi na muhimu sana ni namna gani unachomoa mradi wa mteja wako kwa muda gani na kwa ubora gani na kwa gharama kidogo kwako.
 
Umefafanua vizuri mkuu .Sidhani kama kuna programming lang Developer amemaliza kuweka features kwenye langauage yake,vitu huwa vina evolve tu.Hata mimi.siamini habari ya future language.
 
Nadhani kitu cha msingi ni namna gani language husika inakusaidia. na ninachoweza zungumzia kuhusu Python inapigiwa chapuo sana kwa sababu ni open source na ndio inayotumika zaidi kufundishia vyuoni, so upcoming programmers wengi wanaitumia kutokana na background hiyo.

so ukiangalia mitandaoni statistics za language ipi ni bora, obviously utakuta Python ina lead.

Ila kwenye Data Science na Machine learning Python iko toe to toe na R Language.
 
Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali
Mkuu kuna software yoyote au system ambayo umeitengeneza tunaweza kuiona ili tupate moral kama hutojali? Ila kama kuna zuio lolote kutoka kwa wateja wako basi hakuna tatizo.
Ahsante
 
Back
Top Bottom