Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How powerful is python sirNiko napiga Python
Ni lugha rahisi kujifunza, ina fit kwenye angle nyingi zaidi pia unaweza kuitumia pekee inajitegemea bila kuhusisha au kuchanganya na lugha zingine.How powerful is python sir
Mimi nakusudia kupiga c++ na java.Lugha ambayo nimekuwa nikiitumia(VB) nimeshaichoka sasa na nimeona ni muda muafaka wa kuihama na kusoma language za kibabe kama c++Ni lugha rahisi kujifunza, ina fit kwenye angle nyingi zaidi pia unaweza kuitumia pekee inajitegemea bila kuhusisha au kuchanganya na lugha zingine.
Pia soko lake linakuwa kubwa siku hadi siku na experts wengi hubashiri kwamba ndio future languag.
Ni lugha rahisi kujifunza, ina fit kwenye angle nyingi zaidi pia unaweza kuitumia pekee inajitegemea bila kuhusisha au kuchanganya na lugha zingine.
Pia soko lake linakuwa kubwa siku hadi siku na experts wengi hubashiri kwamba ndio future languag.
C++ unataka kuitumia kwenye nini?Mimi nakusudia kupiga c++ na java.Lugha ambayo nimekuwa nikiitumia(VB) nimeshaichoka sasa na nimeona ni muda muafaka wa kuihama na kusoma language za kibabe kama c++
Lakini bado haibadilishi ukweli kwamba python is very power language compared to JS.Hamna cha future language, kila lugha inazidi kuboreshwa na kuwa bora zaidi.
Leo hii hata JavaScript inapiga mzigo wa backend vizuri tu, ukitumia Typescript na Nodejs, unakuta unafanya fullstack kwa lugha moja.
Lakini bado haibadilishi ukweli kwamba python is very power language compared to JS.
Mfano una project ya AI utumia JS kweli? Au una project ya data science utatumia JS?
Nakubaliana na jamaa aliposema python is the future maana tunapoenda DS na AI/ML zinaenda ku dominate..
Na kama unavyo jua DS na AI/ML = Python!
Lakini bado haibadilishi ukweli kwamba python is very power language compared to JS.
Mfano una project ya AI utumia JS kweli? Au una project ya data science utatumia JS?
Nakubaliana na jamaa aliposema python is the future maana tunapoenda DS na AI/ML zinaenda ku dominate..
Na kama unavyo jua DS na AI/ML = Python!
Kama nilivyokutajia hapo, wadau wa kila lugha hawalali, wanakesha wakiboresha, ni ushindani wa kufa mtu, yes JavaScript unapiga nayo mzigo wa ML kabisa, kunazo libraries na madude kibao yanaachiwa na kuboreshwa kila siku. Kwa miaka yote ambayo nimekua kwenye hii fani nimejifunza kutoidharau lugha yoyote.
Kumbuka kuna multimillion companies behind these languages, watu wamewekeza kishenzi, hela ndefu kwenye R&D, kwa mfano Facebook wamemwaga mamilioni ya hela kuboresha ReactJS, humo kuna ma-geniuses hawalali wakiwaza namna ya kuifanya bora, njoo Google ukute nao hawalali wakiwaza Angular na zote hizo ni JavaScript...yaani mifano iko mingi.
Ukiwa mbobezi kwenye lugha moja, usichukulie poa lugha zingine, wewe tumia kile kilicho mbele yako nenda nacho hivyo hivyo.
Halafu usitegemee sana reviews za majuu baina ya wazungu, wale wako kwenye level nyingine hata ukiona wanacholalamika dhidi ya baadhi ya hizi lugha haitokuja ukumbane na changamoto zake kwenye hivi vimiradi vya Afrika.
Miaka yote huko majuu wanaponda PHP, ila mimi hapa napiga mzigo kwa PHP tena natia hela ndani bila mahangaiko yoyote.
Nakubaliana na wewe unaposema kuna JS inatumika kwenye ML, lakini kati JS na python ni ipi iko prefered kwenye AI? Ndio JS ipo lakini python ndio the best when it comes AI Hilo halina ubishi!
Ni sawa uongelee IoT ndio kuna python lakini ukweli utabaki kwenye IoT the best language ni C/C++!!
Hivyo tukubali tu kwamba pamoja na uwepo wa js lakini kwenye AI na DS python iko ahead several miles!!
All in all right tool to the right job na kila language ina faida na weaknesses zake!!
Kutengeneza application tu mkuuC++ unataka kuitumia kwenye nini?
Ya simu au desktop?Kutengeneza application tu mkuu
Aisee...wa COBOL wenzangu mpo [emoji38]
Ya desktopYa simu au desktop?
Hapo sawa kiongozi..Ya desktop
Mkuu kuna software yoyote au system ambayo umeitengeneza tunaweza kuiona ili tupate moral kama hutojali? Ila kama kuna zuio lolote kutoka kwa wateja wako basi hakuna tatizo.Good. Lakin unaongea na developer mzoefu.kwa muda mrefu nimekuwa kwenye hiyo field. Nimefanyasha tengeneza softwares ..na systems kibao. Take it from me in the future..programmer atakuwa required kujua language zaid ya moja.
It happens now.
Anyway nikutakie safari njema. Kama una nia utafika mbali