Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

Laana is just a Conspiracy...

Ni kwamba unaendana na misingi ya maisha na Dunia au uamue kukengeuka..

Hao watu wanaodaiwa kulaaniwa na wazazi utakuta tayari walishatoka nje ya misingi ya maisha na kuharibikiwa.
Sasa misingi ya MAISHA inawekwa na nani kama Si Mungu Kisha wazazi?
 
Yaani una LAANA ya mzazi,ulimtukana au kumvunjia Heshima yake, ulimkufuru Mungu nk nk, Badala ya kurudi kutubu Kwa Mungu/ mzazi, unazunguka Kwa wachungaji wakuombee,

Na Kwa kuwa wengi ni vipofu kiroho, hawakwambii UKWELI unabaki na LAANA Yako.

Mungu atusaidie.
Amina
 
(Ephesians 6:12)

Maana kushindana kwetu Sisi Si katika Damu na nyama, Bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa Giza hili, juu ya Majeshi ya Pepo wabaya katika Ulimwengu wa Roho.

.....Mwisho wa kunukuu....

Sasa unataka niende kutukana wanajeshi lugalo ambao ni watumishi wa Mungu kulinda Amani ya nchi Ili iweje?

Umeshindwa vita katika spiritual realm, Inakuja mwilini?

Bado hutaweza.
MBONA HUKUNELEWA NDUGU YANGU???

NILIKUA NATAKA KUKUONESHA KWA VITENDO WEWE UNALETA MANENO MATUPU SASA UTAFAHAMUJE UKUBWA WAKE KAMA WEWE NI MTU WA MANENO MATUPU

WEWE UNAKIMBILIA IKULU KABLA YA KUPITA SERIKALI ZA MITAA UMEONA WAPI HUO UTARATIBU???

ACHA HIZO BANA FUATA MAELEKEZO NILIYOKUPA ILI UONE KWA MACHO

FUATA YALE MAELEKEZO YANGU BANA
 
Wewe uliye chini yangu ndiyo unatakiwa kufuata maelekezo yangu,

Mimi niliye na YESU ndani yangu, ni juu ya yote.

Vita tunapigana rohoni, Kisha ushindi unaonekana mwilini,

Umeelewa?
 
Wewe uliye chini yangu ndiyo unatakiwa kufuata maelekezo yangu,

Mimi niliye na YESU ndani yangu, ni juu ya yote.

Vita tunapigana rohoni, Kisha ushindi unaonekana mwilini,

Umeelewa?
WEWE UNADANGANYA HAPA UNAMPENDA YESU HUKUWAHI KUUWAWA KWA MAWE KAMA MT STEPHANO, HUNA HATA KOVU MOJA LA JIWE TUTAKUAMINI VIPI??? WEWE UNAFIKIRI KUMPENDA YESU NI MANENO MATUPU??? NIONESHE MAKOVU YA MAPANGA ULIYOCHARAZWA UKIENEZA DINI
 
Sawa upo sahihi.. unajua ukiuza mali yoyote inakuwa sio yako tena!
Ni Kweli, ukiuza Mali Yako inakuwa Si Yako tena.

Kisheria kumkomboa mtu aliyeuza Roho yake, ni kurudisha deni lililomfanya kuwa mtumwa,

Hapo Ndipo KAZI ya Damu ya Yesu iliyomwagika msalabani hutumika kumkomboa mtu huyo.

Sasa baada ya hapo, mkataba/ AGANO linavunjwa mtu anakuwa huru kuingia AGANO jipya na YESU MWOKOZI.

Hata wewe unaweza vunja AGANO na shetani na usife ukikimbilia Kwa Yesu kupitia Damu ya Yesu.

Umeelewa?
 
WEWE UNADANGANYA HAPA UNAMPENDA YESU HUKUWAHI KUUWAWA KWA MAWE KAMA MT STEPHANO, HUNA HATA KOVU MOJA LA JIWE TUTAKUAMINI VIPI??? WEWE UNAFIKIRI KUMPENDA YESU NI MANENO MATUPU??? NIONESHE MAKOVU YA MAPANGA ULIYOCHARAZWA UKIENEZA DINI
Stephani hakufa akieneza Dini, Bali alikufa akihubiri Imani na injili.

Matusi ninayotukanwa nikihubiri humu, walitukanwa pia wanafunzi wa Yesu enzi zile,

Sasa hiyo ni sacrifice yetu Kwa KAZI ya injili sawasawa na maagizo ya Jemedari mkuu wa vita Yesu Kristo.
 
Stephani hakufa akieneza Dini.

Matusi ninayotukanwa nikihubiri humu, walitukanwa pia wanafunzi wa Yesu enzi zile,

Sasa hiyo ni sacrifice yetu Kwa KAZI ya injili sawasawa na maagizo ya Jemedari mkuu wa vita Yesu Kristo.
USIBAKI NA MANENO MATUPU ILI YESU AKUAMINI KATWA BASI HATA MGUU AU MASIKIO KAMA ALAMA YA SADAKA ILI UMWELEZE YOTE HAYO ULIFANYIWA UKIFIA DINI, SASA USHUJAA WAKO UTAKUWA UPI MBONA WA MANENO MATUPU
 
Sasa misingi ya MAISHA inawekwa na nani kama Si Mungu Kisha wazazi?
Kabla ya hata habari za Mungu kufika tayari watu walikuwa wakiishi kwenye misingi na miiko yao..
Maisha yanaongozwa na misingi ya kimaadili na kihisia.
Mtu akienda kinyume na misingi hiyo, matokeo mabaya ndo yanaonekana, kwa sababu ya athari za matendo na maamuzi yake mwenyewe.
Ni kama mtu asiyefuata sheria za barabarani; ajali inaweza kutokea kwa sababu ya kutofuata taratibu.
Kwa hiyo utapatwa na mabaya kama matokeo ya maamuzi yako mabovu na si jambo lililoshushwa kutoka nje.
 
Back
Top Bottom