Sasa misingi ya MAISHA inawekwa na nani kama Si Mungu Kisha wazazi?Laana is just a Conspiracy...
Ni kwamba unaendana na misingi ya maisha na Dunia au uamue kukengeuka..
Hao watu wanaodaiwa kulaaniwa na wazazi utakuta tayari walishatoka nje ya misingi ya maisha na kuharibikiwa.
AminaYaani una LAANA ya mzazi,ulimtukana au kumvunjia Heshima yake, ulimkufuru Mungu nk nk, Badala ya kurudi kutubu Kwa Mungu/ mzazi, unazunguka Kwa wachungaji wakuombee,
Na Kwa kuwa wengi ni vipofu kiroho, hawakwambii UKWELI unabaki na LAANA Yako.
Mungu atusaidie.
Sawa upo sahihi.. unajua ukiuza mali yoyote inakuwa sio yako tena!AGANO/ Convenant.
Ni agreement between two or three parties,
Ni makubaliano kati ya pande mbili au zaidi
MBONA HUKUNELEWA NDUGU YANGU???(Ephesians 6:12)
Maana kushindana kwetu Sisi Si katika Damu na nyama, Bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa Giza hili, juu ya Majeshi ya Pepo wabaya katika Ulimwengu wa Roho.
.....Mwisho wa kunukuu....
Sasa unataka niende kutukana wanajeshi lugalo ambao ni watumishi wa Mungu kulinda Amani ya nchi Ili iweje?
Umeshindwa vita katika spiritual realm, Inakuja mwilini?
Bado hutaweza.
Wewe uliye chini yangu ndiyo unatakiwa kufuata maelekezo yangu,MBONA HUKUNELEWA NDUGU YANGU???
NILIKUA NATAKA KUKUONESHA KWA VITENDO WEWE UNALETA MANENO MATUPU SASA UTAFAHAMUJE UKUBWA WAKE KAMA WEWE NI MTU WA MANENO MATUPU
WEWE UNAKIMBILIA IKULU KABLA YA KUPITA SERIKALI ZA MITAA UMEONA WAPI HUO UTARATIBU???
ACHA HIZO BANA FUATA MAELEKEZO NILIYOKUPA ILI UONE KWA MACHO
FUATA YALE MAELEKEZO YANGU BANA
WEWE UNADANGANYA HAPA UNAMPENDA YESU HUKUWAHI KUUWAWA KWA MAWE KAMA MT STEPHANO, HUNA HATA KOVU MOJA LA JIWE TUTAKUAMINI VIPI??? WEWE UNAFIKIRI KUMPENDA YESU NI MANENO MATUPU??? NIONESHE MAKOVU YA MAPANGA ULIYOCHARAZWA UKIENEZA DINIWewe uliye chini yangu ndiyo unatakiwa kufuata maelekezo yangu,
Mimi niliye na YESU ndani yangu, ni juu ya yote.
Vita tunapigana rohoni, Kisha ushindi unaonekana mwilini,
Umeelewa?
Ni Kweli, ukiuza Mali Yako inakuwa Si Yako tena.Sawa upo sahihi.. unajua ukiuza mali yoyote inakuwa sio yako tena!
Stephani hakufa akieneza Dini, Bali alikufa akihubiri Imani na injili.WEWE UNADANGANYA HAPA UNAMPENDA YESU HUKUWAHI KUUWAWA KWA MAWE KAMA MT STEPHANO, HUNA HATA KOVU MOJA LA JIWE TUTAKUAMINI VIPI??? WEWE UNAFIKIRI KUMPENDA YESU NI MANENO MATUPU??? NIONESHE MAKOVU YA MAPANGA ULIYOCHARAZWA UKIENEZA DINI
USIBAKI NA MANENO MATUPU ILI YESU AKUAMINI KATWA BASI HATA MGUU AU MASIKIO KAMA ALAMA YA SADAKA ILI UMWELEZE YOTE HAYO ULIFANYIWA UKIFIA DINI, SASA USHUJAA WAKO UTAKUWA UPI MBONA WA MANENO MATUPUStephani hakufa akieneza Dini.
Matusi ninayotukanwa nikihubiri humu, walitukanwa pia wanafunzi wa Yesu enzi zile,
Sasa hiyo ni sacrifice yetu Kwa KAZI ya injili sawasawa na maagizo ya Jemedari mkuu wa vita Yesu Kristo.
Kabla ya hata habari za Mungu kufika tayari watu walikuwa wakiishi kwenye misingi na miiko yao..Sasa misingi ya MAISHA inawekwa na nani kama Si Mungu Kisha wazazi?
WATAKATIFU waishio duniani wakinyakuliwa( walokole),Walokole mhamishiwe milembe