PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
1. Maridhiano

2. Ahadi ya Katiba Mpya.

3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu

Asichoweza kuzungumzia:

1. Mauaji ya waTanzania

2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
 
"Vijana msikubali kudanganywa na watu wasiolitakia mema taifa letu"

Hii umesahau
 
1. Maridhiano

2. Ahadi ya Katiba Mpya.

3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu

Asichoweza kuzungumzia:

1. Mauaji ya waTanzania

2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
Maridhiano na nani na kwanini sasa siyo wakati uliofaa ambao ungeepusha hii misiba ya kujitakia tokana na tamaa ya madaraka na uzwazwa na kiburi. Aende akaridhiane makaburini na wale aliowaua sheeenzi kabisia. Dawa ni kuachia ngazi.
 
Umesahau "kulinda tunu yetu ya amani" na kuwaaasa vijana kufanya hivo😂😂
Hakuna tunu bali uzwazwa na kuhadaiwa. Huwezi kuwa na amani bila. haki au katikati ya ufisadi na ufamilia na upuuzi mwingine kama ilivyo sasa chini ya kikwete kwa mara ya pili.
 
Mara ghafla anatangaza curfew mpya, hamna kutoka nje mpaka mwakani🐼

Hilikwa sasa hana uwezo nalo tena, hata kama anatamani kufanya hivyo

Sasa hivi anajuwa dunia nzima inatazama hapa. Akiendeleza mauaji, moja kwa moja hata yeye hana uhai tena!

Awalete KMKM tena hapa? Akifanya hivyo hata huko Zanzibar watamkataa kwa kuhatarisha maslahi ya wengi wao.
 
Maridhiano na nani na kwanini sasa siyo wakati uliofaa ambao ungeepusha hii misiba ya kujitakia tokana na tamaa ya madaraka na uzwazwa na kiburi. Aende akaridhiane makaburini na wale aliowaua sheeenzi kabisia. Dawa ni kuachia ngazi.
Hilo la kuachia ngazi; huyo atakuwa ni mtu mwingine siyo Samia. Hilo ninaweza kukwambia kwa uhakika kabisa kwa asili mia moja, kuwa huwezi kulisikia likitamkwa na Samia Suluhu Hassan. NEVER!
 
..badala ya FOUR R tumepata ZERO R.

..Mama Abduli akiri kuwa ametukosea.

..Na awaachie mara moja wote waliotekwa.

..Na wote waliopotezwa miili yao ipatikane.
 
Hilo la kuachia ngazi; huyo atakuwa ni mtu mwingine siyo Samia. Hilo ninaweza kukwambia kwa uhakika kabisa kwa asili mia moja, kuwa huwezi kulisikia likitamkwa na Samia Suluhu Hassan. NEVER!
Watamshusha waliomkanganya na kumuingiza kwenye dhambi na makosa ya mauaji
 
1. Swala la mauaji yeye analiita MAMBO YALIYO TOKEA
2. Swala la kuwajibisha au kuwajibika ANALIFUNIKA KWENYE MIUNDO MBINU NA UHARIBIFU WA MALI
3. Swala la kukamata wauwaji ANALIFICHA KWENYE TUME ALIYO IUNDA MWENYEWE

Halafu anasema tumejitia DOA. Nani kajitia doa tofauti na yeye na vyombo vyake? UMELIKOROGA ULINYWE.
 
Nilichokuwa na hakika nacho ni lazima atatoa boko moja ambalo litachochea ghadhabu za watu.

Hawezi kuzungumza bila kuweka dhihaka, kejeli au vijembe.

Theme kubwa itakuwa ni kuendeleza uongo wa Nchemba kuhusu watu kulipwa.

Anguko la huyu bibi mbali ya uuaji ni kiburi chake. Ana kiburi kikubwa sana.
 
1. Maridhiano

2. Ahadi ya Katiba Mpya.

3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu

Asichoweza kuzungumzia:

1. Mauaji ya waTanzania

2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
Mama Kisebengo, ama zake au za WaTanganyika.
 
1. Maridhiano

2. Ahadi ya Katiba Mpya.

3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu

Asichoweza kuzungumzia:

1. Mauaji ya waTanzania

2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
Wengi wa mazwazwa hawa ni vibandiko na makubazi kwa sababu licha ya kuwa mazwazwa, n i rahisi kuwahadaa na vibaba vya mchele wakiaminishwa wanapigania uislam wakati ni ushenzi mtupu. Wanaaibisha waislam bure hawa njaa kali
 
Back
Top Bottom