PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
"Vijana msikubali kudanganywa na watu wasiolitakia mema taifa letu"

Hii umesahau
Badala yake kaja na gia ya kuonyesha ubabe.

Kadanganywa kwamba vitisho ndiyo njia sahihi ya kuwatia woga waTanzania ili aendeleze uovu wake.
 
Umesahau "kulinda tunu yetu ya amani" na kuwaaasa vijana kufanya hivo😂😂
"AMANI", ambayo ni yeye ndiye anayeigawa kwa waTanzania wote!

Ni yeye ndiye anayeamua kuua hao waTanzania wasiopenda AMANI ili nchi ibaki na AMANI!
Ni akili za ajabu sana hizi.
 
Back
Top Bottom