K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Dec 2, 2025 Thread starter #21 Sasso said: "Vijana msikubali kudanganywa na watu wasiolitakia mema taifa letu" Hii umesahau Click to expand... Badala yake kaja na gia ya kuonyesha ubabe. Kadanganywa kwamba vitisho ndiyo njia sahihi ya kuwatia woga waTanzania ili aendeleze uovu wake.
Sasso said: "Vijana msikubali kudanganywa na watu wasiolitakia mema taifa letu" Hii umesahau Click to expand... Badala yake kaja na gia ya kuonyesha ubabe. Kadanganywa kwamba vitisho ndiyo njia sahihi ya kuwatia woga waTanzania ili aendeleze uovu wake.
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Dec 2, 2025 Thread starter #22 just_zero said: Umesahau "kulinda tunu yetu ya amani" na kuwaaasa vijana kufanya hivo😂😂 Click to expand... "AMANI", ambayo ni yeye ndiye anayeigawa kwa waTanzania wote! Ni yeye ndiye anayeamua kuua hao waTanzania wasiopenda AMANI ili nchi ibaki na AMANI! Ni akili za ajabu sana hizi.
just_zero said: Umesahau "kulinda tunu yetu ya amani" na kuwaaasa vijana kufanya hivo😂😂 Click to expand... "AMANI", ambayo ni yeye ndiye anayeigawa kwa waTanzania wote! Ni yeye ndiye anayeamua kuua hao waTanzania wasiopenda AMANI ili nchi ibaki na AMANI! Ni akili za ajabu sana hizi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 2, 2025 #23 Muda huongea... Cc: Mahondaw