matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mazoea ya utundu wa kuchepukachepuka na kubobea katika migegedo ya viwango vya juu nje ya ndoa ni kujiandaa kuvunja ndoa siku chache baada ya kuolewa.
Kama ulizoea kufikishwa Everest na Kilimanjaro huko uzinzini na ndoani unaishia kufikishwa mlima Kilimanjaro wa pale EPZA Ubungo External, lazima ukimbie ndoa.
Ukikutana na mwanaume ambaye hana elimu hiyo ya milima ni rahisi kukimbia badala ya kuelekezana taratibu hadi ashike kasi.
Hatushauri ugegedwaji kabla ya ndoa, ila kama unagegedwa jitahidi uwe selective usijejikuta unafanyishwa mazoezi ya kupigana na Meiweza kumbe ndoani unakutana na Matumla.