Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Umeshasema wanachepuka ila kwa siri, kuna mtu anachepuka halafu anajitangaza?mkuu napingana nawe kdg, mwanamke akikupenda mwenyewe ningum sana kuchepuka hata kama parfomance yako faragha ni yakawaida....
hili nimeshuhudia mwenyewe kwa mabinti kama 3 wanalalama uwezo wa maboyfrnd wao bt wanavumilia coz wanawapenda sana na wanahofia kuwapoteza na hata akichepuka ni siri sana....
bt kama umempenda wewe na yeye kakupenda kwa reason mfano status yako, uzur or pesa then kwa game uwe viazi hapo atachepuka wazi wazi maana hahofii kukupoteza.