matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Ngoja waje. Ila kilele kikifikwa kwa ustadi wote, hata kama ni kahaba atakutafuta akuhonge.hv kati ya pesa na kileleni wanawake wanataka ipi.?
ngoja waje. ila kilele kikifikwa kwa ustadi wote, hata kama ni kahaba atakutafuta akuhonge
Hii imerutubisha mada.I have experience on this. Hakuna ex aliyewahi acha nitafuta, sio sifa lkn ukweli ni kwamba kuna aina ya migegego ambayo ni hatari kwa ndoa za wengine.
Naunga mkono hoja. Tena atakuwa anakuletea yeye peke yake na hela ya nauli hatokuomba.ngoja waje. ila kilele kikifikwa kwa ustadi wote, hata kama ni kahaba atakutafuta akuhonge
Kuna dogo aliwahi kuwa ananunuliwa na kahaba anayejiuza. haya mambo yapo mkuuNaunga mkono hoja. Tena atakuwa anakuletea yeye peke yake na hela ya nauli hatokuomba.
Wanataka vyote,Ukimpa pesa bila kumfikisha kunako hizo pesa zako zitatumika kuwatafuta wa kumfikisha,Ukimfikisha bila kumpa pesa atatoka nje kutafuta pesa.hv kati ya pesa na kileleni wanawake wanataka ipi.?
Usiombe ukakutana na nke wa ntu ambaye mmewe goigoi halafu wewe ukawa wa Moto,usipokuwa na hata chembe ya hofu ya Mungu unavunja ndoa.I have experience on this. Hakuna ex aliyewahi acha nitafuta, sio sifa lakini ukweli ni kwamba kuna aina ya migegedo ambayo ni hatari kwa ndoa za wengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi akichepuka kwa siri sana hajachepuka?mkuu napingana nawe kdg, mwanamke akikupenda mwenyewe ningum sana kuchepuka hata kama parfomance yako faragha ni yakawaida....
hili nimeshuhudia mwenyewe kwa mabinti kama 3 wanalalama uwezo wa maboyfrnd wao bt wanavumilia coz wanawapenda sana na wanahofia kuwapoteza na hata akichepuka ni siri sana....
bt kama umempenda wewe na yeye kakupenda kwa reason mfano status yako, uzur or pesa then kwa game uwe viazi hapo atachepuka wazi wazi maana hahofii kukupoteza.
Huyo jamaa kaonyesha n jinsi gan alivyo mpumbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi akichepuka kwa siri sana hajachepuka?
Kabisa mkuu. Kuna maza wa watoto wanne aliwahi kufanya hivyo. Alikuwa kama roboti kila ninalomwambia anatekeleza.Usiombe ukakutana na nke wa ntu ambaye mmewe goigoi halafu wewe ukawa wa Moto,usipokuwa na hata chembe ya hofu ya Mungu unavunja ndoa.
So mzee ulikua unaisigua sawa sawa sioKabisa mkuu. Kuna maza wa watoto wanne aliwahi kufanya hivyo. Alikuwa kama roboti kila ninalomwambia anatekeleza.
Alipoanza kunambia natamani tuoane ndipo nikajua hapa naenda kumuulia ndoa baharia mwenzangu, nikafanya maamuzi magumu.