Umeshasema wanachepuka ila kwa siri, kuna mtu anachepuka halafu anajitangaza?mkuu napingana nawe kdg, mwanamke akikupenda mwenyewe ningum sana kuchepuka hata kama parfomance yako faragha ni yakawaida....
hili nimeshuhudia mwenyewe kwa mabinti kama 3 wanalalama uwezo wa maboyfrnd wao bt wanavumilia coz wanawapenda sana na wanahofia kuwapoteza na hata akichepuka ni siri sana....
bt kama umempenda wewe na yeye kakupenda kwa reason mfano status yako, uzur or pesa then kwa game uwe viazi hapo atachepuka wazi wazi maana hahofii kukupoteza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuwa hujachepuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi akichepuka kwa siri sana hajachepuka?
hv kati ya pesa na kileleni wanawake wanataka ipi.?
Hata sijamuelewaHuyo jamaa kaonyesha n jinsi gan alivyo mpumbavu
Ulifanya vizuri mkuu,ogopa sana kuharibu ndoa ya mtu,yalishawahi kunikuta kama yako ila nashukuru Mungu nilijiongeza,alikuwa akimponda mumewe mpaka nilikuwa najisikia vibaya,akimpigia simu majibu ya mkatomkato tu utafikiri anaongea na mtoto mdogoKabisa mkuu. Kuna maza wa watoto wanne aliwahi kufanya hivyo. Alikuwa kama roboti kila ninalomwambia anatekeleza.
Alipoanza kunambia natamani tuoane ndipo nikajua hapa naenda kumuulia ndoa baharia mwenzangu, nikafanya maamuzi magumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asipokusumbua ujue ana deni huko kwenye vicoba,akisema bado ujue hana deni huyoKuwafikisha kileleni kazi sana maana muda wote wanawaza kulipa madeni ya vikoba ambayo hata mume hayajui,we unapiga tu mwenzio hayupo kumbe.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]