Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

Wewe afadhali uachane na huu ugoko. Unajifanya kuandika kizungu halafu kumbe ni utopolo mtupu. Najua makamanda uchwara wenzako wanaona sawa tu, tena wanakusifia eti umeenda Cambridge, ha ha ha.
Is time⌚️ either he like it or not mr Jp will step down by force ,how can’t he thieves the election in Tz like the way he did in 2015 but this time it will not happen dictator killer man ⚔️😡
 
Mara maendeleo hayana chama, mara sitaleta maendeleo msiponichagulia wabunge wa kijani, mara nimewasameheni kwa kutonipigia kura, mara...kwa kweli tuna mtu asiye mwadilifu na ni hatari kwa mshikamano wetu.
 
Hayuko consistent kwenye kauli zake..
 
Rais muda mwingine hutumia utani na hapo ndipo watanzania tunapotosha maana na kusema kuwa Rais anaubaguzi
Kuna muda inabidi tuchuje katika hali ya ukweli na uhalisia
Tusichukulie utani kuwa subjects ......Wasukuma ni watu wa utani na hilo linajulikana
ni watu gani wanaongea bila kuwa na utani hata kidogo?
 
Is time⌚️ either he like it or not mr Jp will step down by force ,how can’t he thieves the election in Tz like the way he did in 2015 but this time it will not happen dictator killer man ⚔️😡
Upuuzi mtupu.
 
Police brutality is a part of the problems, Tz are fed up with political corruption and godfatherism , Referendum might be the only solution !!!!

We can't vote for corpses again #People power
Wewe ni kilaza uliyepindukia.
 
Ni Mgombea pekee ambae anawaomba Kura Ghost Voters
 
We si unamsaporti shetani Sasa kina Cha Lissu kimekuwa kirefu umeanza kugeuka?

Mwaka huu tutaelewana tu hakuna kulemba mpaka kieleweke...
Hana kina chochote na leo amekiri anatiketi ya kurudi Brussels December 18th sasa kuna nini hapo?

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM Mzalendo wa kweli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…