Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Halafu funny enough kuna watu wenye matatizo ya utindio wa ubongo watampigia Magufuli kuraVIKWAZO VINGINE TUNASABABISHA SISI WENYEWE
Halafu funny enough kuna watu wenye matatizo ya utindio wa ubongo watampigia Magufuli kuraVIKWAZO VINGINE TUNASABABISHA SISI WENYEWE
This is what you get when ballots do not count in an election.Ah wapi kilaza wewe.
🖕🏿Mpumbavu mmoja unaejifanya unajua, kenge wewe
.... lakini bado utampigia kura.Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi..
You are just talking here for pomposity reasons...am fully confidence that you won't do anything Bro, I guess after voting you will go home and have some funny with your family.Not only my vote but I will shed my blood 28/10 I will confirme what I write ..
I urging Nec to deal with justice otherwise my blood will shedYou are just talking here for pomposity reasons...am fully confidence that you won't do anything Bro, I guess after voting you will go home and have some funny with your family.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Heeee!!!! Hadi Nyani Ngabu umeandika hayaaaaaa tena kipindi hichi cha lala salama???Kweli Jiwe Linaenda kuanguka hapo next week!!!Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi.
Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi.
Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema kuhusu hizo kauli zake.
![]()
Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....
Kauli uliyoitoa mapema leo huko Mwanza ya kwamba watu wa huko 'wasibomoleshwe' nyumba zao kwa sababu wao ndo walokupa urais si nzuri hata kidogo. Ni kauli ya kibaguzi kabisa na ambayo inapaswa kupingwa na mtu yeyote yule mwenye akili timamu. Wewe unatoa kauli kama hiyo huko Mwanza huku kukiwa...www.jamiiforums.com
[Kwa wale ambao huwa mnadai sijawahi hata mara moja kumpinga au kumsema Magufuli kwa sababu eti ni Msukuma mwenzangu, take that!].
Kwenye hizi kampeni za mwaka huu, Rais Magufuli katoa baadhi ya kauli ambazo kwa kweli hazikuwa sawa.
Wiki chache zilizopita alisikika akisema kwamba hatopeleka maendeleo kwenye sehemu ambazo watachagua mbunge au wabunge wasio wa chama chake.
Nilijiuliza mengi sana, yakiwemo haya;
Hivi, huyu Rais anatambua kwamba ni Rais wa Tanzania nzima na Watanzania wake, licha ya vyama wavipendavyo au ni Rais wa baadhi tu ya Watanzania na baadhi tu ya sehemu za Tanzania?
Hayo maendeleo anayosema hatoyapeleka huko ambako hawatochagua wabunge wa CCM, hao waishio huko hawalipi kodi?
Hela za kodi, ambazo ndo hutumika kuleta maendeleo, hutoka kwa Watanzania wa kada zote.
Iweje sasa yeye aseme kuwa hatopeleka maendeleo kwenye sehemu zenye wabunge tofauti?
Inastaajabisha sana na inaleta maswali fikirishi.
Huenda huyu Rais wetu hajui kuwa hata huo mshahara wake ni Watanzania wa kada zote ndo walimpao.
Pia, natumai hadhani kuwa hizo hela za kodi zetu ni zake binafsi.
La, huwezi kusema eti utawanyima watu maendeleo wakati hela si zako na ni za kwao.
Yeye ni nani hadi aseme hatopeleka maendeleo sehemu mpaka watu wawachague CCM?
Kauli za kushangaza sana......
No one blood will be shed,so far NEC have done tremendous job it is the turn of Tanzanians to decide who will lead them to the next five years.I urging Nec to deal with justice otherwise my blood will shed
Sasa mkuu unakataa kwamba hajasema au unamaanisha nn?Sifikirii kama Magufuli anaweza kusema eti sipeleki maendeleo pale kisa sikupigiwa kura!
Hizo ni kampeni tu.
Haya niloyaandika 2017 je? Ulikuwa kipofu?Heeee!!!! Hadi Nyani Ngabu umeandika hayaaaaaa tena kipindi hichi cha lala salama???Kweli Jiwe Linaenda kuanguka hapo next week!!!
Kweli ni Yeye!!!
Viva Lissu Vivaaa
Hata usemeje wewe ni kilaza tu.This is what you get when ballots do not count in an election.
Rip #Akwilina
We si unamsaporti shetani Sasa kina Cha Lissu kimekuwa kirefu umeanza kugeuka?
Mwaka huu tutaelewana tu hakuna kulemba mpaka kieleweke..
Sifikirii kama Magufuli anaweza kusema eti sipeleki maendeleo pale kisa sikupigiwa kura!
Hizo ni kampeni tu.
Hakuna utani, labda hujamjua Magu vizuri. Huyu ni mtu asiyeweza kuficha hisia zake. Anauchukia sana upinzani na ameonesha kwa vitendo. Anaposema maendeleo haya chama pale huwa anaigiza tu, akija kwenye uhalisia anatamka wazi kabisa kwamba msiponipa wabunge wa CCM siwaletei maendeleo. Hatanii huo ndio ukweli, hawezi kuficha anachokiwaza na alichodhamiria kukifanya. Ni mbaguzi na ameonesha kwa vitendo....!!Rais muda mwingine hutumia utani na hapo ndipo watanzania tunapotosha maana na kusema kuwa Rais anaubaguzi Kuna muda inabidi tuchuje katika hali ya ukweli na uhalisia...
Wewe afadhali uachane na huu ugoko. Unajifanya kuandika kizungu halafu kumbe ni utopolo mtupu. Najua makamanda uchwara wenzako wanaona sawa tu, tena wanakusifia eti umeenda Cambridge, ha ha ha.
Rais muda mwingine hutumia utani na hapo ndipo watanzania tunapotosha maana na kusema kuwa Rais anaubaguzi
Kuna muda inabidi tuchuje katika hali ya ukweli na uhalisia
Tusichukulie utani kuwa subjects ......Wasukuma ni watu wa utani na hilo linajulikana
ni watu gani wanaongea bila kuwa na utani hata kidogo?
Ana najisi katiba ya nchi halafu maccm yameufyata..Magufuli ni sawa na mtoto mchanga alievaa pumpasi,imagine kauli mbiu yake inasema kuwa maendeleo hayana chama halafu anaenda mahali anatamka wazi wazi kuwa msiponiletea mbunge wa CCM hapa sileti maji! He is a country bumpkin