MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Mkuu,pamoja na mambo haya ya kushangaza sana, lakini la kushangaza zaidi, bado wewe huwa unamsapoti huyu kichaa.Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi.
Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi.
Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema kuhusu hizo kauli zake.
Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....
Kauli uliyoitoa mapema leo huko Mwanza ya kwamba watu wa huko 'wasibomoleshwe' nyumba zao kwa sababu wao ndo walokupa urais si nzuri hata kidogo. Ni kauli ya kibaguzi kabisa na ambayo inapaswa kupingwa na mtu yeyote yule mwenye akili timamu. Wewe unatoa kauli kama hiyo huko Mwanza huku kukiwa...www.jamiiforums.com
[Kwa wale ambao huwa mnadai sijawahi hata mara moja kumpinga au kumsema Magufuli kwa sababu eti ni Msukuma mwenzangu, take that!].
Kwenye hizi kampeni za mwaka huu, Rais Magufuli katoa baadhi ya kauli ambazo kwa kweli hazikuwa sawa.
Wiki chache zilizopita alisikika akisema kwamba hatopeleka maendeleo kwenye sehemu ambazo watachagua mbunge au wabunge wasio wa chama chake.
Nilijiuliza mengi sana, yakiwemo haya;
Hivi, huyu Rais anatambua kwamba ni Rais wa Tanzania nzima na Watanzania wake, licha ya vyama wavipendavyo au ni Rais wa baadhi tu ya Watanzania na baadhi tu ya sehemu za Tanzania?
Hayo maendeleo anayosema hatoyapeleka huko ambako hawatochagua wabunge wa CCM, hao waishio huko hawalipi kodi?
Hela za kodi, ambazo ndo hutumika kuleta maendeleo, hutoka kwa Watanzania wa kada zote.
Iweje sasa yeye aseme kuwa hatopeleka maendeleo kwenye sehemu zenye wabunge tofauti?
Inastaajabisha sana na inaleta maswali fikirishi.
Huenda huyu Rais wetu hajui kuwa hata huo mshahara wake ni Watanzania wa kada zote ndo walimpao.
Pia, natumai hadhani kuwa hizo hela za kodi zetu ni zake binafsi.
La, huwezi kusema eti utawanyima watu maendeleo wakati hela si zako na ni za kwao.
Yeye ni nani hadi aseme hatopeleka maendeleo sehemu mpaka watu wawachague CCM?
Kauli za kushangaza sana......
Kamanda wako anatiketi ya kurudi Brussels tarehe 18 December vipi wewe utaenda naye?Only corpses will vote for ccm.
Wherever but I can't vote for thieves and murderousKamanda wako anatiketi ya kurudi Brussels tarehe 18 December vipi wewe utaenda naye?
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Simple advice you can take it or not" IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM"Wherever but I can't vote for thieves and murderous
Hivi jiwe ni msukuma?.Madarakani yamemlevya.
Anajua maendeleo Ni hela zake.
Ana ulimbukeni. Kuna rafiki yangu alianambia hakuna msukuma mwenye Tabia Kama za huyuu jiwe.
Kilaza.Seriously we want change, these old men are completely incompetent and thieves out ccm
massage sentKilaza.
Kilaza wewe.massage sent
Not only my vote but I will shed my blood 28/10 I will confirme what I write ..Simple advice you can take it or not" IF YOU CAN'T FIGHT THEM,JOIN THEM"
October 28th ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
UMEHAMUA SIO?We si unamsaporti shetani Sasa kina Cha Lissu kimekuwa kirefu umeanza kugeuka?
Mwaka huu tutaelewana tu hakuna kulemba mpaka kieleweke...
Kura zitalindwa kwa namna yeyote ile mpaka Lissu atangazwe
Yaani Ni hivi tarehe 28 tupo kituoni saa 11 asubuhi bila kuona wakala wa chadema akiingia pale ndani hakuna shughuli ya kura itaendelea pale.
Watu tumehamua kufanya mabadiliko na mabadiliko yana ghalama zake..
Utani wakati yeye mwenyeww ameshawaambia watu wa majimbo fulani kwamba hakupeleka maendeleo kwa sababu hizo na hatapeleka kama hawatachagua atakavyo!! Wewe vipi wewe!!!Rais muda mwingine hutumia utani na hapo ndipo watanzania tunapotosha maana na kusema kuwa Rais anaubaguzi
Kuna muda inabidi tuchuje katika hali ya ukweli na uhalisia
Tusichukulie utani kuwa subjects ......Wasukuma ni watu wa utani na hilo linajulikana
ni watu gani wanaongea bila kuwa na utani hata kidogo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Only corpses will vote for ccm.
Kwa hiyo JPM sio rais wa watz wote?
I agree with you but message sentKilaza wewe.
Haya yanafanyika Tanzania?
VIKWAZO VINGINE TUNASABABISHA SISI WENYEWEUtani wakati yeye mwenyeww ameshawaambia watu wa majimbo fulani kwamba hakupeleka maendeleo kwa sababu hizo na hatapeleka kama hawatachagua atakavyo!! Wewe vipi wewe!!!
Kwamba anatoa kauli za kibaguzi ili kupata kura ila akiwa Rais hawezi kufanya ubaguzi!!Halafu hapo hapo anasema watanzania tusikubali ubaguzi na tukatae wanaotoa kauli za kibaguzi!Sifikirii kama Magufuli anaweza kusema eti sipeleki maendeleo pale kisa sikupigiwa kura!
Hizo ni kampeni tu.
I agree with you but message sent