Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

Not only my vote but I will shed my blood 28/10 I will confirme what I write ..
You are just talking here for pomposity reasons...am fully confidence that you won't do anything Bro, I guess after voting you will go home and have some funny with your family.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
You are just talking here for pomposity reasons...am fully confidence that you won't do anything Bro, I guess after voting you will go home and have some funny with your family.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
I urging Nec to deal with justice otherwise my blood will shed
 
Heeee!!!! Hadi Nyani Ngabu umeandika hayaaaaaa tena kipindi hichi cha lala salama???Kweli Jiwe Linaenda kuanguka hapo next week!!!

Kweli ni Yeye!!!

Viva Lissu Vivaaa
 
I urging Nec to deal with justice otherwise my blood will shed
No one blood will be shed,so far NEC have done tremendous job it is the turn of Tanzanians to decide who will lead them to the next five years.

And I can't see anyone else other than Magufuli to lead us for the next 5years.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Jiwe ameshafanya pesa za walipa kodi wa nchi hii ni zake. Na kweli kwa kiasi fulani zimekuwa zake ndiyo maana ana jeuri ya kusema hayo yote.
Wakati mwingine najiuliza Bunge la bajeti huwa linakaa kufanya nini hasa kama mtu mmoja ndiye anayeamua juu ya matumizi ya pesa yote bila kujali hiyo bajeti wabunge wanayoipitisha?
 
Heeee!!!! Hadi Nyani Ngabu umeandika hayaaaaaa tena kipindi hichi cha lala salama???Kweli Jiwe Linaenda kuanguka hapo next week!!!

Kweli ni Yeye!!!

Viva Lissu Vivaaa
Haya niloyaandika 2017 je? Ulikuwa kipofu?

 
We si unamsaporti shetani Sasa kina Cha Lissu kimekuwa kirefu umeanza kugeuka?

Mwaka huu tutaelewana tu hakuna kulemba mpaka kieleweke..
 
Inategemea ameamkaje, kuna siku anakuwa wa wote kuna siku anakuwa wa wale tu waliompigia kura.
 
Rais muda mwingine hutumia utani na hapo ndipo watanzania tunapotosha maana na kusema kuwa Rais anaubaguzi Kuna muda inabidi tuchuje katika hali ya ukweli na uhalisia...
Hakuna utani, labda hujamjua Magu vizuri. Huyu ni mtu asiyeweza kuficha hisia zake. Anauchukia sana upinzani na ameonesha kwa vitendo. Anaposema maendeleo haya chama pale huwa anaigiza tu, akija kwenye uhalisia anatamka wazi kabisa kwamba msiponipa wabunge wa CCM siwaletei maendeleo. Hatanii huo ndio ukweli, hawezi kuficha anachokiwaza na alichodhamiria kukifanya. Ni mbaguzi na ameonesha kwa vitendo....!!
 
Bi mdashi naona umekurupushwa huko
Wewe afadhali uachane na huu ugoko. Unajifanya kuandika kizungu halafu kumbe ni utopolo mtupu. Najua makamanda uchwara wenzako wanaona sawa tu, tena wanakusifia eti umeenda Cambridge, ha ha ha.
 
Utashikwa hata makalio ww kisha useme ulikuwa utan,acha kuwa zumbukuku
 
Magufuli ni sawa na mtoto mchanga alievaa pumpasi,imagine kauli mbiu yake inasema kuwa maendeleo hayana chama halafu anaenda mahali anatamka wazi wazi kuwa msiponiletea mbunge wa CCM hapa sileti maji! He is a country bumpkin
Ana najisi katiba ya nchi halafu maccm yameufyata..

Watanzania waoga

Hii Ni nchi ya multiparty democracy

Kwa hiyo Kodi za waliochagua upinzani zinaenda wapi?
 
Mkuu huwezi amini atapita tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ndo najiulizaga hivi vichwa tulipewa kama mapambo au vinafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…