Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Kuna muda tunafurahishana tu, ila hamna siasa za upinzani kumpiku ccm, never on earth. Tusubiri 2025. Huku hakuna wajita , wakurya au wachaga, huku ccm kuna watanzania wote. Leteni mzaha mzaha wenu tu.
 
Tanzania ni bora zaidi bila ya CCM. Matatizo mengi, kuanzia katiba mbaya mpaka sheria za hovyo, chanzo ni CCM.
 
Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Propaganda ya ukabila ime expire haifai tena tafuteni zingine. Watanzania wanawa zoom tu na kuwalia timing.
 
Yaani Mimi naumia kuliko Mwamba wenu Mbowe? 😂😂

Ni hivi , Kibaraka Lisu mumemtoa Jupiter hakuwepo 🇹🇿? 😁😁
Huu ukibaraka mbona ham dhibitishi? Mmeshindwa au hamjui? Ukibaraka wake ukoje and how? Kibaraka gani hana hela
 
Kuna muda tunafurahishana tu, ila hamna siasa za upinzani kumpiku ccm, never on earth. Tusubiri 2025. Huku hakuna wajita , wakurya au wachaga, huku ccm kuna watanzania wote. Leteni mzaha mzaha wenu tu.
Ungejua nguvu ya CCM ipo kwenye vyombo vya dola hasa TISS usingeongea haya.

Na huko TISS wakipata akili tu hata mchana hamfiki
 
Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
Propaganda za ukabila haziko relevant anymore. Wachaga wako busy na kazi zao,, na wengine walimuunga mkono lissu including kiongoz wa chadema moshi

Tafuta jingle lingine, wimbo wa ukabila hauna ladha tena
 
Amein
 
Ungejua nguvu ya CCM ipo kwenye vyombo vya dola hasa TISS usingeongea haya.

Na huko TISS wakipata akili tu hata mchana hamfiki
Pambaneni, TISS, waingie basi chadema, maana kama wao ndio kila kitu, na bado wapo ccm, sasa kwann mnapambana kudanganua watu mitandaoni, still bado mnachekesha tu. Na kama Watanzania sio wanaoipa ccm nguvu, basi, hao TISS wako hatuwaachi, na watanzania hatuwaachi.
 
Huu ukibaraka mbona ham dhibitishi? Mmeshindwa au hamjui? Ukibaraka wake ukoje and how? Kibaraka gani hana hela
Mtu ambae familia yake Iko Nje ya Nchi na ambae Huwa anakimbilia Kwa hao akizingua wewe unadhani ni nani?
 
Kwa jinsi uchaguzi wa CDM ulivyofanyika kwa haki, usawa na uwazi. Mboga mboga wamegundua wapo uchi wa mnyama hawajui wafanyeje mpaka Sasa hakika wapo kwenye panic mode.
 
Huyo propagandist, aje taratibu maana kuna spana size 230 ipo na hatuwezi itumia kwake , uyu atachezea spana size 12 mpaka size 16 zinamtosha sana .

Hiko hivi kwa fikra zangu , ccm walishajua wamemaliza kila kitu that's akatangazwa Mgombea January kitu ambacho hakikuwahi tokea katika siasa za nchi hii , sasa je unawezaje pangua hii , jibu ni ngum.
Kumbe ccm kama chama dola walitakiwa tulia kwanza mpaka chaguzi za vyama vyote kuisha.

Ccm ulipendwa sana na machawa sasa Mungu amekufuta kidunia katika kuongoza
 
Mtu ambae familia yake Iko Nje ya Nchi na ambae Huwa anakimbilia Kwa hao akizingua wewe unadhani ni nani?
ni watanzania wangapi wana familia nje ya nchi? Ndugu nje ya nchi? Nao ni vibaraka
Viongozi wangapi wa ccm wana watoto na wajukuu wako huko? Ni vibaraka?

For the record baada ya matatizo kumkuta, aliona aondoe familia yake kwa usalama, na hali ya kiafya bado haija tengamaa, bado anaenda mara kwa mara kucheki majeraha

Swali je alipenda yamkute? Alitaka kupeleka familia huko kabla ya matatizo?
 
Huyo ni zaidi ya kibaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…