Ni rasmi CCM wapo kwenye Panic Mode

Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjinga vile.
Chawa Mwashambwa lazima ccm it’s time mjue kuwa wa Tanganyika wa leo sio wa jana! Mbinu zenu za kuhonga na kutumia jeshi la Polisi zitagonga Mwamba! Wananchi wamechoka , hawaogopi tena kufa kwani Hawaoni tena tofauti ya kufa au kuishi! Bora kufia vitani kuliko kufa kitandani kwa malaria. Ndio ccm ilipowafikisha wananchi hata huko kwenu Mbozi.
 
Hata Lissu alikuwa hana nia ya kuwania uenyekiti CHADEMA mpaka Wenje alivyotangaza nia kugombea umakamu mwenyekiti CHADEMA.

Ndiyo Lissu akasema mkimwaga ugali namwaga mboga.

This is serendipity.
😁😁😁😁 Lissu mpakwa mafuta wa Bwana,
 
Kuna muda tunafurahishana tu, ila hamna siasa za upinzani kumpiku ccm, never on earth. Tusubiri 2025. Huku hakuna wajita , wakurya au wachaga, huku ccm kuna watanzania wote. Leteni mzaha mzaha wenu tu.
Kama mmeanza kuvunja katiba yenu wenyewe kumpitisha binti kiziwi hizo ni dalili za kupanic
 
Watanzania wanaipa nguvu CCM ndio maana wakawaengua wapinzani 98% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ili CCM ipite kwa kishindo. Delusionary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…