Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

😅 Aisee
 
Mimi demu ikifika usiku na mdanganya naumwa then na mtakia usiku mwema, alafu na piga kimnya simtafuti kesho yake..

Na kukikucha na hesabu masaa sita tuu asipo nitafuta kuniuliza nimeamkaje na naendeleaje inakua imeisha hivyo yani na sijali kama ana salio au hana ,

mwanamke akikupenda ukimwambia unaumwa anakua hatulii anaangaika nafsi yake. Hata kama hana salio atatumia simu hata ya baba yake kukuuliza tuu unaendeleaje akishindwa kama yupo karibu na wewe atatoroka aje ata akuchungulie tuu ajue upo hai au ndio umezima


Hiyo kwangu ndio full red light and red flags.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kha😂😂
 
Mshirikina..
Mdada wa mujini..
Ntumie hela nikale..
Kuna hela ya vicoba nadaiwa..
Kuna mchango wa ndugu yangu mgonjwa kila mtu anatoka laki 2 sina nisaidie..

Bora mara kumi mwanamke akwambie Tu nna shida ya hela kidogo kuliko akupe hizo details za kijinga...zinachefua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…