Ni route ipi rahisi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma?

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
657
Reaction score
548
Kwema wakuu,

Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni route ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko?

Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza.

Shukrani!
 
Option ziko 3

1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea

2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea

3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
 
Umemaliza kila kitu!Options nzuri kabisa,na rahisi kwake ni hizo mbili,kulala dodoma au kupanda la Mbeya na kushuka Makambako,na kutokea Makambako nauli ni 20,000/-
 
The best ni Mwanza-Dodoma, unalala. kesho yake unakamata Super Feo Bus unatua Songea saa kumi na mbili au saa moja moja hivi.
Kesho yake unanyoka zako Mbinga au Nyasa.
Safari njema mwalimu kafundishe wangoni, wanyasa, na wamatengo waache kwichi kwichi ya utotoni.
 
Panda gari Mwanza Mbeya shuka makambako hapo utafika usiku saa8 nauli elf40-45 asubuhi unapanda gari za kwenda Songea utafika Songea mchana saa 7 au 8

Au Mwanza Dom lala asubuhi upande Dom Songea
 
Option ziko 3

1. Panda Bus Mwanza mpka Dar then lala chukua bus la Dar to Songea

2. Panda Bus za Mwanza to Mbeya shuka Makambako lala next day panda bus za Mbeya/Iringa to Songea

3. Panda Bus mpka Dom lala next day panda bus za Dom to Songea
Hiyo option ya pili ni busu la kifo , basi za kutoka mwanza kwenda mbeya huwazinapita usiku mnene makambako , na itabidi adubiti kupambazuke ndo aunganishe , kwa baridi la makambako halafu ndo asubirie Basi Hadi kukuche atajuta
 
Asante kwa ushauri kuhusu tym ya makambako kwel huwa mida mibovu....

Kama ana familia ashuke Dom asafir kwa amani kabisaaa
 
Back
Top Bottom